TUSHIRIKISHANE TABORA: Timu ya JamiiForums yapata ajali maeneo ya Mbaoni - Urambo

TUSHIRIKISHANE TABORA: Timu ya JamiiForums yapata ajali maeneo ya Mbaoni - Urambo

Wakuu Bi Asha na Ericus poleni sana na ajali na tupo pamoja katika kuwatakia salamu za pole na kuwatakia hali njema mpate matibabu haraka.
 
Poleni sana viongozi.
MUNGU mwema kanusuru uhai wenu.
Sifa, Utukufu na shukrani ni zake.
Tunawatakia kupona haraka.
 
Poleni sana.
Mwenyezi Mungu na awape afua haraka-Ameen.
 
Poleni sana, Mungu akawabariki mkapate kupona mapema
 
Poleni sana wandugu. Bora kama mmesalimika
 
Back
Top Bottom