Dialogist
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 1,167
- 1,872
Hizi takataka zingine bana... Kuiga iga tu... wanaotoa ahadi za kufungiwa JF ni wale wenye ID maarufu za muda mrefu au awe platnum level au angalau senior expert member sio wewe kiazi hata wiki hujamaliza toka ujiunge hapa. Huna faida wala hasara😀😀Sioni Tabora hii iliyofunga Vichaa Azam na Yanga mbovu akipata ushindi dhidi ya Simba hii ya Moto.
1.Simba amepata mechi nyingi za ushindani kimataifa wakati Tabora akiwa hana
2.Ubora wa kikosi cha simba dhidi ya Tabora.
Mods shikiria hapo hapo.
BTW, we ni mpenzwi wa mpira au mpenzi wa mpira?