Tabora United Ikiifunga Simba SC Nifungiwe JF mwaka mzima

Sioni Tabora hii iliyofunga Vichaa Azam na Yanga mbovu akipata ushindi dhidi ya Simba hii ya Moto.

1.Simba amepata mechi nyingi za ushindani kimataifa wakati Tabora akiwa hana

2.Ubora wa kikosi cha simba dhidi ya Tabora.

Mods shikiria hapo hapo.
Cc
Active
Paw
 
Tupo hapa kuwa mashihuda kubakia na wewe jukwaani.
 
Nimewasahau Kalpana ngara23 Labani og OKW BOBAN SUNZU GENTAMYCINE Active Minjingu Jingu nisaidieni kuwatag mods for imediate action
Screenshot_20250202-183852_Instagram.jpg
ni mwendo wa kuwalamba tuuu...
 
Back
Top Bottom