Tabora United Ikiifunga Simba SC Nifungiwe JF mwaka mzima

Sioni Tabora hii iliyofunga Vichaa Azam na Yanga mbovu akipata ushindi dhidi ya Simba hii ya Moto.

1.Simba amepata mechi nyingi za ushindani kimataifa wakati Tabora akiwa hana

2.Ubora wa kikosi cha simba dhidi ya Tabora.

Mods shikiria hapo hapo.
Cc
Active
Paw
 
Tupo hapa kuwa mashihuda kubakia na wewe jukwaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…