Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Siku chache baada ya kuchaguliwa na kuapishwa kuwa viongozi wa serikali za mitaa, watu wameshaanza kudai posho zao kupandishwa.
Hivi kweli hata kabla wananchi hawajaanza kuona matunda ya kura zao watu mshaanza kudai kuongezewa posho? Hawa viongozi wanatokea chama gani?