Mindyou JF-Expert Member Joined Sep 2, 2024 Posts 1,869 Reaction score 4,877 Nov 30, 2024 #1 Wakuu, Siku chache baada ya kuchaguliwa na kuapishwa kuwa viongozi wa serikali za mitaa, watu wameshaanza kudai posho zao kupandishwa. Hivi kweli hata kabla wananchi hawajaanza kuona matunda ya kura zao watu mshaanza kudai kuongezewa posho? Hawa viongozi wanatokea chama gani? Your browser is not able to display this video.
Wakuu, Siku chache baada ya kuchaguliwa na kuapishwa kuwa viongozi wa serikali za mitaa, watu wameshaanza kudai posho zao kupandishwa. Hivi kweli hata kabla wananchi hawajaanza kuona matunda ya kura zao watu mshaanza kudai kuongezewa posho? Hawa viongozi wanatokea chama gani? Your browser is not able to display this video.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Nov 30, 2024 #2 Pmbaneni na hali zenu Kuweni wazelndo hakuna cha posho wala nini Ova
A Animal Farm JF-Expert Member Joined Nov 16, 2024 Posts 234 Reaction score 281 Nov 30, 2024 #3 mrangi said: Pmbaneni na hali zenu Kuweni wazelndo hakuna cha posho wala nini Ova Click to expand... Posho za kuwapa wezi?
mrangi said: Pmbaneni na hali zenu Kuweni wazelndo hakuna cha posho wala nini Ova Click to expand... Posho za kuwapa wezi?
Kijukuu cha ngoyayi JF-Expert Member Joined Oct 27, 2018 Posts 1,384 Reaction score 2,880 Nov 30, 2024 #4 Sawa tu si wamejazana wao tu na manguo yao ya mboga mboga wapaze sauti tu itafika tu kwa yule bibi wa kipemba
Sawa tu si wamejazana wao tu na manguo yao ya mboga mboga wapaze sauti tu itafika tu kwa yule bibi wa kipemba