Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Lissu ameanza kuandaa Timu yake ya Vurugu baada ya kushindwa. Mwaka huu ataogea barafu, yeye na vibaraka wake. JPM tano tena.Wahamiaji haramu 32 raia wa Burundi wamekamatwa Mkoani Tabora wakitokea Mkoa wa Kigoma kuelekea Mikoa ya DSM na Mbeya katika upekuzi watatu wamekutwa na vitambulishio vya kupigia kura vya Tanzania na sita wakiwa na barua za utambulisho kutoka kwa Watendaji wa Kata za Mkoa wa Kigoma na DSM.
Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari Afisa Uhamiaji Mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi wa Uhamiaji Amiru Sadick Salim amesema Wahamiaji 25 kati yao wamekamatwa Wilayani Urambo wakiwa ndani ya treni kutoka Kigoma kwenda DSM huku wengine saba kituo kikuu cha mabasi Tabora wakitoka Kigoma kuelekea Mbeya.
View attachment 1592829
Mwnaume kuwa na ta vijitabia vya kike kazi sana,sasa lisu kaingiaje hukuLissu ameanza kuandaa Timu yake ya Vurugu baada ya kushindwa. Mwaka huu ataogea barafu, yeye na vibaraka wake. JPM tano tena.
hao ni ndugu zake Magufuli wamekuja kupiga kuraLissu ameanza kuandaa Timu yake ya Vurugu baada ya kushindwa. Mwaka huu ataogea barafu, yeye na vibaraka wake. JPM tano tena.
Lissu ameanza kuandaa Timu yake ya Vurugu baada ya kushindwa. Mwaka huu ataogea barafu, yeye na vibaraka wake. JPM tano tena.
Wewe una asili ya wapiHuyu wetu si ana asili ya burundi,
Ndugu zake Magufuli wamekamatwa na police wa chademaπππππhao ni ndugu zake Magufuli wamekuja kupiga kura
ChattleWewe una asili ya wapi
ni kwamba kikosi wamejichanganya wataachiwa tu kwa order toka juuNdugu zake Magufuli wamekamatwa na police wa chademaπππππ
Nyie watu mnajichanganya hadi mnachanganyikiwaπππππππ
Ni ke kabisa we ulidhani ni meMwnaume kuwa na ta vijitabia vya kike kazi sana,sasa lisu kaingiaje huku
labda anampendaMwnaume kuwa na ta vijitabia vya kike kazi sana,sasa lisu kaingiaje huku
wakati wa kujiandikisha hawana maswali mengi unachosema ndio wanaandika wao hawanaga mambo mengi.Bongo raha sana hahaha inaonekana alie wapa ivo vitambulisho kacheza uku na kule kawaingiza mjini
We utakuwa James dLissu ameanza kuandaa Timu yake ya Vurugu baada ya kushindwa. Mwaka huu ataogea barafu, yeye na vibaraka wake. JPM tano tena.