Tabora: Wanafunzi wa kidato cha 6 waliotaka kuchoma moto Shule ya Sekondari Milambo wakamatwa

Hukuwa na ID siyo.
Hahahah wanapenda kampani hao
 
Kama ni kweli basi hawafai. Watolewe fasta waende wakawafanyie wazazi wao huo upumbavu!
 
Nimesoma hizo hizo Shule za GVT kuanzia Chekechea hadi kidato cha Sita, na tukakutana na hao hao sa SAINT vyuon walituzid presentation tu zile za DS, ila kwenye Haematology, sijui Microbiology and Immunology tukawaelekeza kwa kiswahali vizuri tu
 
Pia kama kumbukumbu zangu ziko sawa hili ni tishio kama la 3 kuhusu shule hii (Milambo) kutaka kuchomwa moto ndani ya miaka mi 5 (kuanzia 2021). Ukifuatilia vizuri chanzo kikuu ni kuahirishwa kwa mahafali katika miaka husika.

Kitu cha kuzingatia ni kwamba hakuna uhusiano mzuri baina ya uongozi wa shule na wanafunzi. Na siku zote mwenye mamlaka humuangushia jumba bovu asie na mamlaka.
 
 

Attachments

  • VID-20250513-WA0000.mp4
    10.4 MB
Finally hawa wametuwakilisha enzi zetu, maana mitoto ya siku hizi imekuwa kama midemu laini laini ndio maana ushoga umezidi....
Safi sana, halafu ndio wote wanatoka na 1 kali mpaka mlimani......
Nipo hapa naijua SERIKALI na usalama wa TAIFA.
Watashuhurikiwa kwenye usahihishaji wa MITIHANI 😊
Wengi watapata ufaulu daraja la 3 maana SERIKALI inajua watu radical wakipelekwa kwa WINGI university kubwa kubwa za SERIKALI Kuna uwezekano boom likicheleweshwa wakakinukisha.

Wait & see MATOKEO yao yakitoka.
 
Majinga haya 2008 yalitulaza Macho usku mzima Tabora Boys baada ya kuelezwa kuwa yanakuja kuchoma shule usku.
Mkuu comment yako imenichekesha sana. Nimepita Milambo enzi za bwana Majuba., miaka 1998's.
 
Nimesoma hizo hizo Shule za GVT kuanzia Chekechea hadi kidato cha Sita, na tukakutana na hao hao sa SAINT vyuon walituzid presentation tu zile za DS, ila kwenye Haematology, sijui Microbiology and Immunology tukawaelekeza kwa kiswahali vizuri tu
Tumesoma serikali mwanzo mwisho na tunatamba na elimu zetu Safi mkuu.
 
Mtaalamu LIKUD 😀
 

Duh, mara ya 3 .?

Kama ni mara ya 3 na huyo mkuu wa shule bado yupo, basi huyo ndio wa kuondoa hapo.
 
ndio wabeba maono wa taifa hao wa baadae wanatarajiwa kuja kuwa viongozi etc , yaani bangi ni mbaya sana kuna na vile videmu vinacheza mamiziki ya singeli matiti nje na vyenyewe etri vimemaliza form six kwakweli nchi hiyo ina shida sana , hapo chuo bado na pia hawajaja uraiani kupambana na soko la ajira.
 
Ni issue ya bange.
Katika watu wa hovyo ni wanafunzi wa Advance hasa kidato cha sita.
Wanajiona wamemaliza, hakuna wakuwasimamisha
Hakuna bange mkuu na sio mara ya kwanza kwa kesi kama hii katika uongozi uliopo wa shule.
Duh, mara ya 3 .?

Kama ni mara ya 3 na huyo mkuu wa shule bado yupo, basi huyo ndio wa kuondoa hapo.
Sijajua kama ni yule yule ila sio mara ya kwanza kwa kesi hio.
 
Hakuna bange mkuu na sio mara ya kwanza kwa kesi kama hii katika uongozi uliopo wa shule.

Sijajua kama ni yule yule ila sio mara ya kwanza kwa kesi hio.
Muda mwingine mkuu wa shule anakuwa punga mkali mkali mpaka wanafunzi wanakuwa sugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…