Tabora: Wanafunzi wa kidato cha 6 waliotaka kuchoma moto Shule ya Sekondari Milambo wakamatwa

Sisi headmaster kipindi hiko alikua ana discovery 2 mupyaaa, yani michongo ya mbao na miti ikampa hela hatari....alafu vbarua wanafunziii😂
Sasa kuna ishu ya shamba mkakati ambapo unakuta wanafunzi ndio walimaji wa parachichi daaah..

Wale watu et chini ya 50 unaenda shambani na unakuta robo tatu ya darasa mpo shambani
 

swali ni kuwa, Wanafunzo wa sekondari wanakosaji uhusiano mzuri na uongozi wa shule? hii clear case ya utovu wa nidhamu
 
Milambo imeenda chini kinidhamu.
Kama sikosei kina Palamagamba Kabudi walisoma hapo, na shule ilikuwa inaongoza kwa nidhamu ya kijeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…