ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Malezi hayawezi kuishia Kwa wazazi tutqjidanganya tuLakini wakuu....
Minaona kwamba malezi ya mtoto hutokea nyumbani.
Ili mtoto awe na nidhabu, mwenye kuheshimu wakubwa, mwenye kutambua maadili mema nk: haya yooye huanzia nyumbani na kisha shuleni anaenda kufuata masomo pamoja na kuzifuata sheria za shule.
Mtoto aliepata msingi wa malezi bora anajulikana tu kuanzia kwenye discipline.
Mtoto ni WA jamii nzima