Malezi hayawezi kuishia Kwa wazazi tutqjidanganya tuLakini wakuu....
Minaona kwamba malezi ya mtoto hutokea nyumbani.
Ili mtoto awe na nidhabu, mwenye kuheshimu wakubwa, mwenye kutambua maadili mema nk: haya yooye huanzia nyumbani na kisha shuleni anaenda kufuata masomo pamoja na kuzifuata sheria za shule.
Mtoto aliepata msingi wa malezi bora anajulikana tu kuanzia kwenye discipline.
Huo udaktari ataupata kwa kukirekodi picha za uchi ?Wewe ni mbinafsi sana
Yaani unaona mtoto kwakuwa sio wako afukuzwe shule
Kuji rekodi video sio mwisho wa maisha
Huyo Binti anaweza kuwa daktari akakuti, akawa askari akakulinda
Mtoto ni WA jamii
laZima aliteleza tumrekebishe arudi maana tunatambia ni mtoto na mtoto laZima afanye utoto
Akikosea tukamfukuza shule tunapoteza jamii
Mabinti wamekosea sawa ila Bado tunawahitaji laZima tuwarekebishe warudi
Kazi ya kulea sio mzazi pekee
Inabidi wawe na shule zao ili sumu isisambae Kwa watoto wengineWakuu habari zenu!
Kuna hii taarifa ya hawa watoto wa Shule kufukuzwa huko Tabora, kuna namna sauti inatakiwa kupazwa kutokana na adhabu kubwa waliyopewa ukilinganisha na umri wao, walikuwa na nafasi yakuonywa na kuendelea na masomo ila sio kukatiza mazima.
Wanafunzi wawili wa kike kutoka shule moja ya sekondari mkoani Tabora, wamefukuzwa shule kwa makosa ya kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Gwajima D , amewataka maafisa Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Jamii na maafisa Elimu wote nchini kuimarisha madawati ya ulinzi wa watoto shuleni ili kusaidia kupunguza mmomonyoko wa maadili na ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi.
Soma, Pia:
+ Tabora: Wanafunzi Tabora wakamatwa na simu zaidi 120 zilizoungwa makundi wanayotumia kutumiana picha/video za ngono
Wewe kwenye simu umeona mabaya tuHuo udaktari ataupata kwa kukirekodi picha za uchi ?
Kwani hao watoto wangekuwa wa kwangu ninge ukataza uongozi wa shule isiwafukuze?
Kwanza mtoto wa miaka 14 unamnunulia smartphone ili iweje hasa zaidi ya ushamba na ulimbukeni?
Kama kazi ya kulea mtoto sio ya mzazi pekee mbona mnashinda humu mnawaponda waalimu pale wanapo wapiga bakora watoto kwalengo la kuwarekebisha tabia zao mbaya?
Shule zinaongozwa kwa miongozo ya wizara ya elimu na sio kwa utashi wa mtu binafisi hivyo usilirazimishe mawazo yako ndo yaonekane ni sahihi.
Ww kama unaona hizo sheria sio sahihi mwambie mbunge wako apeleke mswada bungeni ili sheria zibadilishwe.
Ahaha kitambo sana hii videoAsee ukisema utupu nakumbuka mwamba moja sijui wa udom alivuma saana kwa mauno aliyompigisha mpnz wake afu mzigo ulikuwa kama 1hr
Wewe bibi huyu mama Gwajima kakukosea nn mbona unapenda kumuandama sanahakuna siri, kwa mtazamo wangu, katika mawaziri failures wa mama Samia huyu Dkt. Gwajima D anaongoza.
Taifa limeporomoka kabisa kimaadili mpaka naamini kuwa yeye ndiye muhusika mkuu wa maadili kuporomoka kwa kushindwa kwake kudhibiti kwa njia za kisasa.
Nilicheka peke yangu, aliponambia humu JF kuwa anatumia mbinu za enzi za mMkapa kupambana na matatizo ya sasa.
Nilimponda hapohapo, kwani hata nilipojaribu kumshauri alikuwa hanielewi kabisa. Nikaelewa kuwa huyu mwanamke hana ubunifu kabisa.
Tunajionea maadili ya jamii yanavyozidi kuporomoka kila kukicha.
Huyu bibi simuelewagi itikadi zakeWe tatizo lako ujuaji unakuponza Sana
Unajua kishambulia tu Ila kujenga hauwezi
Soma uelewe mkuu.Malezi hayawezi kuishia Kwa wazazi tutqjidanganya tu
Mtoto ni WA jamii nzima
Na kwangu mimi nadhani ndio best video kwa bongo na kwa east africa upande wa porn🤣🤣🤣Ahaha kitambo sana hii video
Sawa nakuelewaSoma uelewe mkuu.
Malezi huanzia nyumbani nikimaanisha maadili ya mtoto huanzia kufundishwa na wazazi wake mzee.
Huko kwenye jamii wataendeleza maadili ambayo mtoto ametoka nayo nyumbani kwa wazazi/walezi wake
Kama watarejeshwa Hamuoni kuwa italeta ushawishi Kwa vijana wengine kuweza kufanya Hicho kitendo bila hofu ya kuchukuliwa hatua zozote za kisheria ??Kwani umeambiwa Hawa hawatasoma tena? Unajua kama haki ya kusoma ni ya kisheria kwenye Sheria yao. Nilichojifunza, watoa komenti mahiri wanahitaji semina ya kujua mambo mengi kuhusu wizara hii na miundo kwa ujumla Ili bidii yao ya komenti iwe na tija zaidi. Vinginevyo ni kurusha mishale tu direction tofauti na target. Ndiyo maana kumbe wengine huwa hata hawajibu maana hata ukijibu wanaona komenti inakuja tena target nje kabisa. Ila tutawaelimisha msijali Ili kuboresha komenti
Wataku wapuuzi haoNgoja watetezi waje kupingana na waziri
Unataka ukaopoe bebi mapema?Na nyimbo zinazohamasisha ngono wanaziachilia wao wako busy kufungia nyimbo zenye ushawishi harakati za kisiasa?
Pia kutotaja hiyo shule ndio suluhu ya kumaliza tatizo.?
Hivi huu Ustawi wa Jamii unaona hili Bomu la Kesho au wapo kufanya Now bila kuangalia Kesho....Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Gwajima D , amewataka maafisa Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Jamii na maafisa Elimu wote nchini kuimarisha madawati ya ulinzi wa watoto shuleni ili kusaidia kupunguza mmomonyoko wa maadili na ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi.
Hizo kauli huwa mnazitoa kipindi chamatatizo lakini kabla ya hapo kauli ilikuwa ni achana na mtoto wangu hujanisaidia kumzaa.Malezi hayawezi kuishia Kwa wazazi tutqjidanganya tu
Mtoto ni WA jamii nzima
Nikisema ccm ni inyaaa💩 muwe mnaelewa ..Wakuu habari zenu!
Kuna hii taarifa ya hawa watoto wa Shule kufukuzwa huko Tabora, kuna namna sauti inatakiwa kupazwa kutokana na adhabu kubwa waliyopewa ukilinganisha na umri wao, walikuwa na nafasi yakuonywa na kuendelea na masomo ila sio kukatiza mazima.
Wanafunzi wawili wa kike kutoka shule moja ya sekondari mkoani Tabora, wamefukuzwa shule kwa makosa ya kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Gwajima D , amewataka maafisa Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Jamii na maafisa Elimu wote nchini kuimarisha madawati ya ulinzi wa watoto shuleni ili kusaidia kupunguza mmomonyoko wa maadili na ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi.
Soma, Pia:
+ Tabora: Wanafunzi Tabora wakamatwa na simu zaidi 120 zilizoungwa makundi wanayotumia kutumiana picha/video za ngono