Tz is not poor country no matter what period.Tabora ni pahali panaweza kukua sana kiuchumi, kunawezekano wa kuweka kiwada cha kisasa cha asali, cha kujicha ngome na mbuzi na pia kuwekeza katika shamba kubwa ya ngombe wa maziwa na kiwada cha maziwa, tatizo kubwa kwa mji kaa tabora na miji mingine na tz kwa ujumla ni hili, mazingira chafu na mabaya kwa uwekezaji , ile kitu inaitwa FDI wawekezaji toka nje ya nchi wanaweza ekeza, lakini kwa hii serikali APANA, so tz itabaki vile vile very very poor country
Huu nao msemo!...kiherehere kama mke wa balozi....dah! Kitovu cha neno ndonnakiwaza! Wanakuwaga viherehere sana?Unafaa kuolewa Mke wa pili wewe!kiherehere kama Mke wa balozi.
Huu nao msemo!...'kiherehere kama mke wa balozi'....dah! Kitovu cha neno ndonnakiwaza! Wanakuwaga viherehere sana?Unafaa kuolewa Mke wa pili wewe!kiherehere kama Mke wa balozi.
Hili la daladala moja kwa mkoa mkubwa kuliko yote Tz kijiografia, sikubaliani nalo ingawa sijawahi kufika Tbr. Ngoja wenyeji waje.Umeshaona makao makuu ya mkoa yana daladala moja Tu na maduka kufunguliwa saa 3? Sehemu moja Tu inaitwa Oxygen ndo ina afadhali nyakati za jioni.
Wewe jamaa Bajaji mpya kwa singida ni Tshiling ngapi? na madereva wanawasilisha ngapi per day?Nenda Singida mkuu,toka huko Tabora,singida kuna bebez Kali na viwanda vipo
Kweli bangi iendelee kupigwa marufuku,ni wapi niliposema nipo singida!?nimetoa ushauri tu kwa mtoa mada,wala sipo TzWewe jamaa Bajaji mpya kwa singida ni Tshiling ngapi? na madereva wanawasilisha ngapi per day?
Tabora ipi hiyo ambayo kuna ukabaji??Tatizo la mkoa wa tabora wote ni UMWINYI, wa wakazi wake, hawataki kufanya kazi, wao ni bao tu, yaani ni kama mikoa mingi ya pwani,, na ndio maana hata vijana wa pale wengi ni vibaka tu tu, katika mikoa inayoongoza kwa ukabaji ukiacha dar ni tabora!! Vijana hawataki kufanya kazi!! Msikitini, kwenye bao na kahawa
Mtwara,Lindi, Masasi kote papo hovyo.Mtwara kuna maendelek kuliko unavyofikiria
kwa Lindi nitakubali
na inavyoonenana wewe huijui mtwara
Tabora mjini!! Yaani huo mji haufai, kuna jamaa namfahanu ni muislam ila imemlazimu kufuga mbwa tu hakuna jinsi!! Kwani kama ni kumuibia walimuibia vya kutosha!! Mwezi wa saba, kulikuwa na wasafi festival hapo nilichokiona sikuamini kama kinafanyika tabora, watu walipolwa, kubakwa!! Vijana wafanye kaziTabora ipi hiyo ambayo kuna ukabaji??
Siamini kama kuna siku tabora itaendelea aisee maana nimesomea huko 2001 had 2004 lakini bado Tabora ni ile ile tu hakuna kitu
Wale wa musoma mpite huku, na nyie mmepasahau kwenu mji umepauka sana ule...
vipi hakuibiwa kuku? Wizi Tabora umekithiri. Hata mbwa huhongwa kwa kuja usiku na chakula mara kwa mara mpaka huwazoea. Isevya, Ng'ambo na Mwanza Road, utakutana na familia ni wezi kuanzia babu, baba, watoto, wajukuu, mpaka wakamwana hujfunza wizi wakisha olewa.Tabora mjini!! Yaani huo mji haufai, kuna jamaa namfahanu ni muislam ila imemlazimu kufuga mbwa tu hakuna jinsi!! Kwani kama ni kumuibia walimuibia vya kutosha!! Mwezi wa saba, kulikuwa na wasafi festival hapo nilichokiona sikuamini kama kinafanyika tabora, watu walipolwa, kubakwa!! Vijana wafanye kazi
wewe noma sana mkuuUnafaa kuolewa Mke wa pili wewe!kiherehere kama Mke wa balozi.
Restaremi mkuu ukuiona? Tabora hotel nayo ukuiona? Acha uongo tabora inakuwa kwakasi sana. Barabara zalami zimezagaa karibia mjini koteMigahawa mizuri ya maana katikati ya mji niliona miwili tu, hotel za kulala chache sana halafu zina hadhi ya kawaida sana ukitoa Frankman.
Mkuu umemuelewesha vema kabisa. Kwamfano hapa stand ilipo watu wazima wanasema palikuwa kuna majaruba ila kwasasa akija mgeni hawezi kuamini nawanakwambia wakati ule kiwanja maeneo haya yastand walikuwa wanauza haizidi laki 5 ila kwasasa sio Chini ya milioni Mia nakuendelea.Sijui niseje nielweke ni ushamba au mini kwa hili jambo ambalo mtu anataka mini yote Tanzania ifanane na dar yani hataki jiuliza hivi kwanini mwanza haifanani na arusha, na mbeya, au Dodoma au kwanini watu wa Dodoma wanaishi hivi tofauti na kigoma yani anataka yeye jambo analoliona Dar alikute Bukoba
Jamani tukifika mini migeni tuangalie vitu muhimu vinavyovhochea maendeleo ambavyo mtendaji mkuu ni serikali hivyo vitu tusipoviona tujiulize inakuwaje hapa baada ya hapo ndio tuje tuangalie vitu vidogo vidogo hivi
Mfano mkoa wa Tabora, ukiangalia nature ya mji ni tambalale hakuna milima wala nini kwaiyo uendeshaji wa baiskeli hauschoshi na ndio maana biashara ya daladala ngumu sababu usafiri wa baiskeli umekuwepo kwa miaka mingi sana kwaiyo kukuta baiskeli nyingi si kuwa mji hauna maendeleo hapana huo ndio usafiri uliopo na ndio unatofautisha uko ulipotoka na hapo tabora
Hivi Tabora ni mji wa leo mji wa miaka lakini kwanini minj kama mwanza au mbeya baiskeli siyo nyingi unataka niambia huo wingi wa daladala mwanza au mbeya au arusha ulikuwepo tangu miaka ya 1980 jibu hapana nature ya mji nimefanya iwe hivyo hivi mbeya utaendesha baiskeli kutoka uyole mpaka mbalizi au mwanza utoke ilemela uje nyegezi milima ile si utafika hoi
Kwaiyo Tabora ipo hivyo na itabadilika kutokana na kizazi, Tabora ya mwaka 2000 siyo tabora ya leo umebadilika sana tena sana
ile kanyenye saa mbili usiku ilikuwa Giza na sauti za chura ila leo hii ndio sehemu iliyochangamka, kule kituo cha mabasi wale wenyeji mnakumbuka kule ilikuwa majaruba tupu ukifika usiku porini uko ila leo hii mji unechangamka