Tadeo Lwanga vs Victor Akpan

Tadeo Lwanga vs Victor Akpan

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
INASEMAKANA SIMBA WAMEMSAJILI VICTOR AKPAN. je uwezo wa akpan na Tadeo Lwanga nani mzuri. Tudadavua hapa isije ikawa Simba tunacheza kamari tu.

Me maoni yangu kama mwana simba ni mchezaj wa kawaida kwa nini tusingeongezee hela hiyo tumchukue dogo mghana wa horoya aje azibe nafasi ya kukaba ambayo Simba imepwaya. Yanga wamefanikiwa kwa Bangala....
 
uyo mchezaji wa dodgo wa Horoya anaitwa nani?,kama ni Augustine Okrah uyu ni mnyama tayari bado kutambulishwa tu.
 
eti tuongeze hela kidogo! unaijua Horoya? unadhani anaweza kuwa wanamuuza bei gani? kuchukua mchezaji Horoya sio kama unachukua mchezaji Mtibwa
Basi Yanga wanatishaaaa!
Waliweza kumng'oa mchezaji wao wa kutegemewa, Eritier Makamboooo!
 
uyo mchezaji wa dodgo wa Horoya anaitwa nani?,kama ni Augustine Okrah uyu ni mnyama tayari bado kutambulishwa tu.
Okrah ni winger au attacking mid na anatoka Bechem ligi ya Ghana ila hapo kiungo mkabaji ni bora ubaki na Lwanga kuliko huyo Akpan

Huyo Akpan mnanuona tu kwenye mechi kubwa tu ila muwe mnaangalia na mechi dhidi ya midtable wenzake ni normal player

Tafuteni quality player na sio mkamiaji
 
NAFIKIRI PLAN ILIYOPO ni kuchukua versatile player atakayeweza kucheza namba tano na sita au namba 2/3/6
 
Okrah ni winger au attacking mid na anatoka Bechem ligi ya Ghana ila hapo kiungo mkabaji ni bora ubaki na Lwanga kuliko huyo Akpan

Huyo Akpan mnanuona tu kwenye mechi kubwa tu ila muwe mnaangalia na mechi dhidi ya midtable wenzake ni normal player

Tafuteni quality player na sio mkamiaji
Wewe uliangalia ipi ya kawaida?.....
Ntajie mechi ndogo aliyoboronga nikaangalie na mimi.
 
Daah! Nilikosea mkuu....hakuna mechi aliyoboronga na huyu kiungo pia ana uwezo mkubwa sana hats wa kumiliki dimba akiwa dhidi ya timu kubwa Afrika

Kama aliweza kuwamiliki Yanga pale katikati basi hawezi kushindwa kumiliki dimba dhidi ya Giants of Africa coz malengo yetu kama simba ni kufika semi final ya CAFCC
 
Simba wanacheza kamari tu.
Huwezi kuwa na malengo makubwa na huna mipango ya kuyafikia malengo hayo.Mfano timu ya vijana unayoweza kuibua wachezaji wako wakali.Au vinginevyo ukubali kuvunja mikataba.Siyo mnakuja kutuambia Adebayor ni mchezaji mzuri kwa vile tumecheza naye .Hamjui hata ana magoli mangapi CAF na mnatuambia wapo wengi kama yeye?!!Wako wapi?
 
Huyo Akpan mnanuona tu kwenye mechi kubwa tu ila muwe mnaangalia na mechi dhidi ya midtable wenzake ni normal player

kama anafanya vizuri kwenye mechi kubwa ndo mzuri huyo,timu yoyote itakayocheza na Simba iyo ni mechi kubwa,so ata perform vizuri tu.
Alafu Lwanga aponi,sisi tumfanyaje sasa kilasiku yeye ni mi jeraha tu.
 
Kuna ku perfome na kukamia mechi ila watu waingie cha kike wakusajili ule pesa yao na baadae waanze kulaumiana
 
Hayo ndiyo maandalizi yenyewe ya kuukosa ubingwa kwa misimu mitano mfululizo kuanzia sasa. Haihitaji uwe na akili nyingi kugundua ya kwamba Thadeo Lwanga ni bora zaidi ya huyo Victor Akpan!

Thadeo Lwanga anacheza timu ya Taifa! Anacheza modern football! Ana spidi uwanjani! Anakaba na kushambulia! nk.

Kwa bahati mbaya sana huyo Victor Akpan, hana hizo sifa nilizo zitaja. Na ushahidi wa wazi kabisa, angalia namna alivyo potea kwenye mechi ya ubingwa wa Yanga! Wakina Sure Boy walikuwa wanampiga tu matobo!

Halafu eti wamemsajili kwa dau la Tsh. milioni 100! Na hao Coastal Union walimsajili kwa dau la shilingi ngapi hapo kabla? Hiyo hela bora hata ingetumika kumsajili George Mpole! Walau ana impact.

Anyway, time will tell.
Itoshe tu kusema , salio limekata tunarudi tulipotoka..
 
INASEMAKANA SIMBA WAMEMSAJILI VICTOR AKPAN. je uwezo wa akpan na Tadeo Lwanga nani mzuri. Tudadavua hapa isije ikawa Simba tunacheza kamari tu.
Me maoni yangu kama mwana simba ni mchezaj wa kawaida kwa nini tusingeongezee hela hiyo tumchukue dogo mghana wa horoya aje azibe nafasi ya kukaba ambayo Simba imepwaya. Yanga wamefanikiwa kwa Bangala....
Faida kubwa aliyonayo Akpan ni kwamba analijua vyema soka la Bongo. Huko kimataifa lolote linaweza kutokea...

Huyo Morlaye Sylla ni kiungo mshambuliaji au no. 10 sio kiungo mkabaji. Anakuja kuchukua nafasi ya Bwalya sio Lwanga.

Natumai nimekupa muongozo...
 
Back
Top Bottom