uyo mchezaji wa dodgo wa Horoya anaitwa nani?,kama ni Augustine Okrah uyu ni mnyama tayari bado kutambulishwa tu.INASEMAKANA SIMBA WAMEMSAJILI VICTOR AKPAN. je uwezo wa akpan na Tadeo Lwanga nani mzuri. Tudadavua hapa isije ikawa Simba tunacheza kamari tu.
Me maoni yangu kama mwana simba ni mchezaj wa kawaida kwa nini tusingeongezee hela hiyo tumchukue dogo mghana wa horoya aje azibe nafasi ya kukaba ambayo Simba imepwaya. Yanga wamefanikiwa kwa Bangala....
Basi Yanga wanatishaaaa!eti tuongeze hela kidogo! unaijua Horoya? unadhani anaweza kuwa wanamuuza bei gani? kuchukua mchezaji Horoya sio kama unachukua mchezaji Mtibwa
inategemea na kiwango. kwa kiwango chake unaweza kupewa kama kifungashio cha mchezaji mkali,ila sio kwa yule dogo Sillya anayecheza kama kafungwa motaBasi Yanga wanatishaaaa!
Waliweza kumng'oa mchezaji wao wa kutegemewa, Eritier Makamboooo!
Okrah ni winger au attacking mid na anatoka Bechem ligi ya Ghana ila hapo kiungo mkabaji ni bora ubaki na Lwanga kuliko huyo Akpanuyo mchezaji wa dodgo wa Horoya anaitwa nani?,kama ni Augustine Okrah uyu ni mnyama tayari bado kutambulishwa tu.
NAFIKIRI PLAN ILIYOPO ni kuchukua versatile player atakayeweza kucheza namba tano na sita au namba 2/3/6Okrah ni winger au attacking mid na anatoka Bechem ligi ya Ghana ila hapo kiungo mkabaji ni bora ubaki na Lwanga kuliko huyo Akpan
Huyo Akpan mnanuona tu kwenye mechi kubwa tu ila muwe mnaangalia na mechi dhidi ya midtable wenzake ni normal player
Tafuteni quality player na sio mkamiaji
Wewe uliangalia ipi ya kawaida?.....Okrah ni winger au attacking mid na anatoka Bechem ligi ya Ghana ila hapo kiungo mkabaji ni bora ubaki na Lwanga kuliko huyo Akpan
Huyo Akpan mnanuona tu kwenye mechi kubwa tu ila muwe mnaangalia na mechi dhidi ya midtable wenzake ni normal player
Tafuteni quality player na sio mkamiaji
Daah! Nilikosea mkuu....hakuna mechi aliyoboronga na huyu kiungo pia ana uwezo mkubwa sana hats wa kumiliki dimba akiwa dhidi ya timu kubwa AfrikaWewe uliangalia ipi ya kawaida?.....
Ntajie mechi ndogo aliyoboronga nikaangalie na mimi.
Huyo Akpan mnanuona tu kwenye mechi kubwa tu ila muwe mnaangalia na mechi dhidi ya midtable wenzake ni normal player
Kuna ku perfome na kukamia mechi ila watu waingie cha kike wakusajili ule pesa yao na baadae waanze kulaumianakama anafanya vizuri kwenye mechi kubwa ndo mzuri huyo,timu yoyote itakayocheza na Simba iyo ni mechi kubwa,so ata perform vizuri tu.
Alafu Lwanga aponi,sisi tumfanyaje sasa kilasiku yeye ni mi jeraha tu.
Simba the next level[emoji123]Kuna ku perfome na kukamia mechi ila watu waingie cha kike wakusajili ule pesa yao na baadae waanze kulaumiana
Itoshe tu kusema , salio limekata tunarudi tulipotoka..Hayo ndiyo maandalizi yenyewe ya kuukosa ubingwa kwa misimu mitano mfululizo kuanzia sasa. Haihitaji uwe na akili nyingi kugundua ya kwamba Thadeo Lwanga ni bora zaidi ya huyo Victor Akpan!
Thadeo Lwanga anacheza timu ya Taifa! Anacheza modern football! Ana spidi uwanjani! Anakaba na kushambulia! nk.
Kwa bahati mbaya sana huyo Victor Akpan, hana hizo sifa nilizo zitaja. Na ushahidi wa wazi kabisa, angalia namna alivyo potea kwenye mechi ya ubingwa wa Yanga! Wakina Sure Boy walikuwa wanampiga tu matobo!
Halafu eti wamemsajili kwa dau la Tsh. milioni 100! Na hao Coastal Union walimsajili kwa dau la shilingi ngapi hapo kabla? Hiyo hela bora hata ingetumika kumsajili George Mpole! Walau ana impact.
Anyway, time will tell.
Morlaye Sylla anakuja kuchukua nafasi ya Bwalya, ni kiungo mshambuliaji pia anacheza no. 10 sio kiungo mkabaji.Yule Sillya sijui anavyoitwa?
Faida kubwa aliyonayo Akpan ni kwamba analijua vyema soka la Bongo. Huko kimataifa lolote linaweza kutokea...INASEMAKANA SIMBA WAMEMSAJILI VICTOR AKPAN. je uwezo wa akpan na Tadeo Lwanga nani mzuri. Tudadavua hapa isije ikawa Simba tunacheza kamari tu.
Me maoni yangu kama mwana simba ni mchezaj wa kawaida kwa nini tusingeongezee hela hiyo tumchukue dogo mghana wa horoya aje azibe nafasi ya kukaba ambayo Simba imepwaya. Yanga wamefanikiwa kwa Bangala....