Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Kwani mama Anna Makinda hajui kuwa katiba ni Supreme law? Au ndio siasa za kukariri !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mtu anayetoa maoni yanakinzana na katiba lazima akosorewe. Katiba ni sheria mama haitakiwi kupindishwa hata kidogo.Na wewe muache Mama Makinda, tatizo lako nini? Unataka uishi maisha yako na pia maisha yake ya kutoa mawazo? Acha ujinga.
Bwashee una maoni gani kuhusu kauli ya Mh Msekwa?Msekwa ndio aliitengeneza katiba ya JMT ya mwaka 1977!
Mkuu hapa ndipo wengi mnapokosea.
Mtu mzima hata kama kakosea kwa maoni yako, bado anastahili lugha ya staha siyo kama hii uliyo tumia hapo juu.
Unapojisifu na kujipa hadhi ya mwanajumuiya ya wasomi basi tumia hekima na busara za kisomi katika mijadala ya kisomi.
Umejenga hoja nyingi mzuri sana kutetea maoni yako lakini lugha hii ya vijiweni imekuangusha sana.
Mbona unakosoa bila kusahihisha alichosema mama Makinda? Wewe ndio ttzo kubwa zaidWewe wa ajabu kweli bilashaka utakuwa kilaza wewe hivi umesoma na kuelewa vizuri maoni ya Mama Makinda? Hoja yako haina mashiko umekurupuka usimlishe mama Makinda maneno yako
Mzee Msekwa amewahi sana kutoa tamko lake nazani naye anajua kinachowafukuzwa hao wabunge uanachama wao chadema sio tamko la Mbowe kwenye vyombo vya habari bali ni barua watakazoandikiwa hao watuhumiwa wakielezwa makosa yao na vifungwa na kanuni za chama chao walizovunjwa. Pia Spika wa Bunge kujulishwa rasmi kwa barua.
Sasa kabla ya haya yote kutekelezwa huwezi kusema aliyosema Mzee Msekwa. Tena barua hiya uhakikishe wahusika imewafikia, ambapo na wao wanayo haki ya kuchukua hatua za kimahakama kujitetea.
Hapa Pascal Mayalla na johnthebaptist nawasubiri watoe ya moyoni
Wewe ndo umesema ukweli. Wamama wameshaapa na kutangazwa kuwa ni wabunge halali; huwezi kuwafuta uanachama kwa matamko ya kwenye press conference. Inabidi spika aandikiwe barua rasmi kutaarifiwa. Chadema wakimwandikia spika maana yake wanamtambua rasmi, na kwa hiyo wanatambua matokeo ya uchaguzi ulimweka kwenye uspika!Mzee Msekwa amewahi sana kutoa tamko lake nazani naye anajua kinachowafukuzwa hao wabunge uanachama wao chadema sio tamko la Mbowe kwenye vyombo vya habari bali ni barua watakazoandikiwa hao watuhumiwa wakielezwa makosa yao na vifungwa na kanuni za chama chao walizovunjwa. Pia Spika wa Bunge kujulishwa rasmi kwa barua.
Sasa kabla ya haya yote kutekelezwa huwezi kusema aliyosema Mzee Msekwa. Tena barua hiya uhakikishe wahusika imewafikia, ambapo na wao wanayo haki ya kuchukua hatua za kimahakama kujitetea.
Naona ule mzigo wa lile wigi umepunguza uwezo wake wa kufikiriHuyu Anna anataka kujidhalilisha kama halima mdee
We umejitoa sio?Kwao huko Ukarani Ukerewe na labda katika Bedroom yako, ila siyo Nchini kote. Tanzania hii nzima Wanaume ni akina Nyerere na Karume tu basi.
Membe alipewa lini barua yake ya kufukuzwa uanachama wa CCM? Pumbavu sana wewe.Mzee Msekwa amewahi sana kutoa tamko lake nazani naye anajua kinachowafukuzwa hao wabunge uanachama wao chadema sio tamko la Mbowe kwenye vyombo vya habari bali ni barua watakazoandikiwa hao watuhumiwa wakielezwa makosa yao na vifungwa na kanuni za chama chao walizovunjwa. Pia Spika wa Bunge kujulishwa rasmi kwa barua.
Sasa kabla ya haya yote kutekelezwa huwezi kusema aliyosema Mzee Msekwa. Tena barua hiya uhakikishe wahusika imewafikia, ambapo na wao wanayo haki ya kuchukua hatua za kimahakama kujitetea.
Nguvu kuuuubwa
Wale tayari ni wabunge, Mpaka zile Milion tisini tayari wamepata
Na nyie mmewafukuza Sasa makelele ya nn?
Huko sahihi na Ndugai aache kuinajisi katiba kwa kuwalinda kinyume na katiba na sheria, maana wakishauriana na jiwe utaona matokeo yake!Tatizo ni kwamba leo Msekwa ataonekan wa maana kwa sababu kaongea jambo lenye kuwafurahisha watu fulani ila Msekwa huyohuyo siku nyengine akiongea jambo lisilowafurahisha hata kama ndio ukweli basi ataonekana ni hovyo.
Tuache hii tabia.