GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Na Wewe unataka Ukandiwe zaidi yake?[emoji23][emoji23]ila we jamaa bwana
Sasa ulitaka wasichangie uzi wako mkuu?
Ametoa maon ila bado unamkandia
Niaje mzee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Wewe unataka Ukandiwe zaidi yake?[emoji23][emoji23]ila we jamaa bwana
Sasa ulitaka wasichangie uzi wako mkuu?
Ametoa maon ila bado unamkandia
Niaje mzee?
Na Wewe unataka Ukandiwe zaidi yake?
Kwa sababu huangalii mpira unaangalia magoli.......Angeanza 1. Onana 2. Saidoo 3. Ayoub 4. Kramo
Hao wanatosha kuachwa dirisha dogo la Usajili. Kuwaacha wote uliowataja kwa pupa haiwezekani.
Ila Saidoo ana dawa kali sana. Haiwezekani anacheza dakika karibia zote. Sionagi output yake, kama ipo ni ndogo sana. Lakini, kocha ndiye anayejua zaidi.
Mzee hapa Umepuyanga.Ni kiungo WA Chuma HASWA lakini si kiungo mkabaji Wala Mchezeshaji.
Ni mtumia NGUVU Nyingi uwanjani faul nyingi na ubabe mwingi.
Kanute hana Msaada ukitoa
Height na NGUVU tu
Mh sasa huyo kanoute unayemsema jana kahusika na goli zote mbili walizofunga simba acha chuki za wazi huna lolote mbona alisema hamtaki chama watu wakampigia kelele sasa hivi anaanza yaani hata kama una Caf liseni A ila kibu denis na moses phiri kila mtu anajua pumba na mchele mpira unachezwa uwanjani sio chumbani hata kibu denis achukue balon do'r hawezi kuwa bora mbele ya chama na moses phiri.Mkijifunza Mpira ndio Mtaelewa.
Phiri amewekwa Benchi na
1.zoran Mark.
2. Robertinho
Unazani Hawa MAKOCHA ni WAJINGA sana!!!!!!!
Kanute anachokupa ni NGUVU na urefu.
Zaidi ya Hapo
Pass za HOVYO, control mbovu, KUPOTEZA MIPIRA, Faul, kadi za njano nk.
TAFUTA Mchezaji aina ya Bangala.
Sijui Simba walimuachaje Efoe Novon
TAMAA YA KUMPATA MIQUISSONE ILIWAPONZA.
Umri ule Yanga wamroge kwa kiwango gani!45 yrs old halafu mnachezesha dk 90 nyie ni wauwaji!Saido ni mchezaji Mzuri sana. Lakini Hana faida Tena
YANGA wamepoka mpira wake.
Aliacha jezi na Soksi yanga wamemroga.
(Atafutwe no 10 mwingine Simba)
SIMBA INASHIRIKI SUPER CUP TENA MWAKANI NA INAWEZA IKALAMBA TENA BILIONI 5.
ILI UWE NA TIMU SHINDANI WOTE NILIOWATAJA HAPO LAZIMA WAACHWE.
Rubbish Mimi ningekuwa moderate ningekuwa nafuta post za kijinga kama hiiSaido ni mchezaji Mzuri sana. Lakini Hana faida Tena
YANGA wamepoka mpira wake.
Aliacha jezi na Soksi yanga wamemroga.
(Atafutwe no 10 mwingine Simba)
SIMBA INASHIRIKI SUPER CUP TENA MWAKANI NA INAWEZA IKALAMBA TENA BILIONI 5.
ILI UWE NA TIMU SHINDANI WOTE NILIOWATAJA HAPO LAZIMA WAACHWE.
Tatizo lile lile la watanzania kujua kila kitu kuliko hao wanaosomea kazi zao. Huwezi kumpima Onana kwa mechi chache alizocheza.Winga Mshambuliaji Onana baada ya Kumuona Mwenyewe katika Mechi alizocheza ( achilia mbali kule Rwanda alikokuweko ) nimegundua kuwa kwa 100% si Mchezaji mwenye Hadhi ( Profile ) ya Kuicheza Timu Kubwa na inayohitaji Matokeo ya haraka kama ya Simba SC.
Cha muhimu na kipekee alichonacho Onana ni zile Rasta zake za Kishamba alizopaka Rangi ya Nyumba na Hereni zake kama za Madenu zangu ninaowabandua Kutwa ila kuhusu Mpira hana Kitu na hapa wana Simba SC kama ambavyo tunawacheka Watani zetu Yanga SC kuwa wameliwa kwa akina Hafidh Konkon na Skudu Makudubela basi hata na Sisi Simba SC tusikatae kuwa nasi kwa Onana na Kram ( tunayemtetea kuwa ni Majeruhi ) nasi tumeliwa vile vile.
Na kama GENTAMYCINE nikiulizwa ni Wachezaji gani ninapendekeza wawe wa Kwanza Kuachwa na Simba SC Dirisha Dogo la Usajili la January kwa Kunikera Kwao na kwa Viwango vyao kuwa Chini na hawana msaada kwa Simba SC yetu nitapendekeza Leandre Wilson Onana na Jean Othos Baleke.
Waachwe tu upesi hawaisaidii Timu.
Ujuaji unamtesa huyu muungwana[emoji23][emoji23]ila we jamaa bwana
Sasa ulitaka wasichangie uzi wako mkuu?
Ametoa maon ila bado unamkandia
Niaje mzee?
Ujuaji unamtesa huyu muungwana
Mh sasa huyo kanoute unayemsema jana kahusika na goli zote mbili walizofunga simba acha chuki za wazi huna lolote mbona alisema hamtaki chama watu wakampigia kelele sasa hivi anaanza yaani hata kama una Caf liseni A ila kibu denis na moses phiri kila mtu anajua pumba na mchele mpira unachezwa uwanjani sio chumbani hata kibu denis achukue balon do'r hawezi kuwa bora mbele ya chama na moses phiri.
Utakula banned hadi ukomeHuyu ndiyo Member ambaye ANALINDWA sana na MODERATORS hapa JamiiForums na huenda pia ( narudia huenda pia ) akawa amepewa nao Wote au baadhi yao KIBALI cha KUNITUKANA aina ya MATUSI yote Mimi GENTAMYCINE.
Wiki iliyopita ALINITUKANA vilivyo hapa JamiiForums na kama kawaida NIKAMRIPOTI Kwao ( MODERATORS ) na nimeshawahi mara kadhaa pia kufanya hivyo huko nyuma ila kinachofanywa nao ( MODERATORS ) pale tu NIKIMRIPOTI Kwao ni kutompa ADHABU yoyote ile isipokuwa zile Posts zake zote za KUNITUKANA, KUNISHAMBULIA, KUNICHAFUA na KUNIDHALILISHA hapa JamiiForums HUFUTWA haraka sana na Yeye kuendelea KUDUNDA ( KUWEPO ) na akishaona NIMEMRIPOTI kwa MODERATORS hujifanya KUPOTEA kwa muda hapa JamiiForums ili UPEPO upite kisha ANAREJEA baadae ( hasa baada ya Wiki ) moja na Kurudia kuyafanya yale yale Kwangu.
Na ID yake hii AKIIPUMZISHA baada ya muda huo tajwa hugeukia IDs zake nyingine Tatu ambazo Mbili huwa anaendelea KUNITUKANA nazo na Moja hujifanya INANIUNGA mkono ( inanikubali ) hapa JamiiForums.
GENTAMYCINE nina uhakika ingekuwa ni Mimi ndiyo NATUKANA kama afanyavyo hivi huyu UNTOUCHABLE MEMBER Song of Solomon hivi sasa ningeshakuwa NIMEADHIBIWA kwa BAN ya ama MWEZI MMOJA au MIEZI MITATU ili KUNIKOMOA kutokana na KUCHUKIWA na baadhi yao na nimehisi kwa KUJIAMINI huku huenda hata hii ID ikawa ni ya MODERATOR mwenye CHUKI na ROHO ya HUSUDA nami ama kwa KUJUANA au basi tu jina la hii ID la GENTAMYCINE linamkwaza na Kumnyima raha.
Nikuombe tu JamiiForums Founder Maxence Melo tafadhali kama kuna AGENDA ya KUNISHAMBULIA na KUNICHOKOZA Kutwa hapa JamiiForums Kwako na Kikundi cha Watu kwa sababu WAZIJUAZO ili Mimi NIHAMAKI na NIJIBIZANE nao vikali ili adhma ya Kunipa BAN ndefu ili ID hii isiendelee kuwepo hapa JamiiForums semeni tu nikae pembeni kwa Amani na si kwa KUTAFUTANA huku kila Siku
Inakera kwakuwa hawa Watu nimeshawazungumzia hapa JamiiForums Kwako mara nyingi tu ila hakuna WANALOFANYWA sana sana ndiyo wanaendelea tu.
Nimeshawaomba Members hapa JamiiForums kuwa kama unajijua HUMPENDI GENTAMYCINE na HUKUBALIANI nae na HUVUTIWI na UWASILISHAJI wake wa Masuala Mtambuka hapa Jamvini njia ni rahisi tu nayo ni KUACHANA nae na ikiwezekana hata KUNIBLOKU ( IGNORE ) pia ila cha KUSIKITISHA na KUSHANGAZA hao hao WANAONICHUKIA akina huyu Song of Solomon na Wenzake Tisa ( 9 ) ndiyo WANAONGOZA kwa Kunifuatilia na Kunisoma ( hasa Mada zangu ) mbalimbali hapa JamiiForums Kwako.
Na najua hii Post yangu haitodumu hapa kwa KUMLINDA Song of Solomon na kwa KULIELEZEA hili Jambo kwa JamiiForums Founder Maxence Melo ila GENTAMYCINE naahidi UKIFUTWA tu na huyu Member akiendelea KUNIDHALILISHA na KUNITUKANA nitaurudia KUUANDIIKA hapa na kama mtaamua KUNIADHIBU Mimi sasa badala ya huyu Member kwa KUMPENDA sana Kwenu nipo tayari kwa hiyo BAN nikiamini kuwa kwa KUSEMA KWANGU HUU UKWELI NA KUTOKUWA MUOGA na MNAFIKI kwa Mwenyezi Mungu nina BARAKA zangu nyingi na ULINZI tosha.
Cc: Cookie, YinYang, Active, Mhariri, Paw, Moderator, JamiiForums, Bridger, Diversity and Boqin
Winga Mshambuliaji Onana baada ya Kumuona Mwenyewe katika Mechi alizocheza ( achilia mbali kule Rwanda alikokuweko ) nimegundua kuwa kwa 100% si Mchezaji mwenye Hadhi ( Profile ) ya Kuicheza Timu Kubwa na inayohitaji Matokeo ya haraka kama ya Simba SC.
Cha muhimu na kipekee alichonacho Onana ni zile Rasta zake za Kishamba alizopaka Rangi ya Nyumba na Hereni zake kama za Madenu zangu ninaowabandua Kutwa ila kuhusu Mpira hana Kitu na hapa wana Simba SC kama ambavyo tunawacheka Watani zetu Yanga SC kuwa wameliwa kwa akina Hafidh Konkon na Skudu Makudubela basi hata na Sisi Simba SC tusikatae kuwa nasi kwa Onana na Kram ( tunayemtetea kuwa ni Majeruhi ) nasi tumeliwa vile vile.
Na kama GENTAMYCINE nikiulizwa ni Wachezaji gani ninapendekeza wawe wa Kwanza Kuachwa na Simba SC Dirisha Dogo la Usajili la January kwa Kunikera Kwao na kwa Viwango vyao kuwa Chini na hawana msaada kwa Simba SC yetu nitapendekeza Leandre Wilson Onana na Jean Othos Baleke.
Waachwe tu upesi hawaisaidii Timu.
Sawa Mtoa BAN wangu Mkuu JamiiForums. Kwahiyo nikiwa BANNED ndiyo Upumbavu na Umasikini wako vinakuwa Historia? Na kwanini kama Unajiamini hujanijibu kwa ID yako ya Kimamlaka hapa kama Mtoa BAN ili Ujulikane? Umeogopa nini?
Si bure,unaishi kwa kuhongwa uivuruge Simba.Winga Mshambuliaji Onana baada ya Kumuona Mwenyewe katika Mechi alizocheza ( achilia mbali kule Rwanda alikokuweko ) nimegundua kuwa kwa 100% si Mchezaji mwenye Hadhi ( Profile ) ya Kuicheza Timu Kubwa na inayohitaji Matokeo ya haraka kama ya Simba SC.
Cha muhimu na kipekee alichonacho Onana ni zile Rasta zake za Kishamba alizopaka Rangi ya Nyumba na Hereni zake kama za Madenu zangu ninaowabandua Kutwa ila kuhusu Mpira hana Kitu na hapa wana Simba SC kama ambavyo tunawacheka Watani zetu Yanga SC kuwa wameliwa kwa akina Hafidh Konkon na Skudu Makudubela basi hata na Sisi Simba SC tusikatae kuwa nasi kwa Onana na Kram ( tunayemtetea kuwa ni Majeruhi ) nasi tumeliwa vile vile.
Na kama GENTAMYCINE nikiulizwa ni Wachezaji gani ninapendekeza wawe wa Kwanza Kuachwa na Simba SC Dirisha Dogo la Usajili la January kwa Kunikera Kwao na kwa Viwango vyao kuwa Chini na hawana msaada kwa Simba SC yetu nitapendekeza Leandre Wilson Onana na Jean Othos Baleke.
Waachwe tu upesi hawaisaidii Timu.
Sawa Juha na Pole sana.Si bure,unaishi kwa kuhongwa uivuruge Simba.
Una account nyingi humu na inayofuata umetaja wachezaji.Wewe ni mtu wa hovyo sana
Sizungumzii position nazungumzia impact kwenye team kama unaamini kibu anafaa kucheza simba basi ww ni kilaza wa mpira mchezaji nafasi kumi analenga goli mara moja tu yale yale ya mugalu eti alikuwa anakabaKIBU ni 7,11
PHIRI 10,9
WAPI NA WAPI??????
FICHA UJINGA KAKA.
PHIRI HAKUNA MCHEZAJI MULE
Umeangalia kiufundi zaidi nilishangaa wamekazana kumkomalia Banda wakati mbadala wake hamna kitu. Saidoo umri wa kucheza na wajukuu.Angeanza 1. Onana 2. Saidoo 3. Ayoub 4. Kramo