CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
pwilo
Labda Tufanye Huu mjadala kiufundi kidogo na kuweka USHABIKI Nje.
Moses Phili alisajiliwa Simba kama Mshambuliaji WA pili( second straiker.) HASA kwenye No 10
Aliposajiliwa Simba aliwakuta Chama,, Sackho na Baadaye Saido kwenye Hiyo position.
Wakati Koach wa Simba Zoran Mark anatua Mchezo wake wa kwanza alicheza na yanga na kumtumia kyombo kwenye safu ya Ushambuliaji
ROBERTINHO alimjaribubu Phili na kuona uwezo wake ni Duni na kuanza kumtumia Baleke.
KIUFUNDI SASA.
1. Uwezo Mkubwa WA Phiri ni kupiga mashuti kwa Miguu yote miwili.
2. Anauwezo mkubwa WA KUKIMBIA na Kasi yake ni kubwa.
MADHAIFU.
1. Anaumia Kila Dakika.
2. Anaanguka anguka sana uwanjani.
3. Ni mfupi wa kimo.
4.uwezo wake wa kukaa na mpira ni mdogo sana.
5. Anapoteza poteza mipira Mingi.
Nakaribisha swali kabla sijaenda kwa KIBU.