Tafadhali dirisha Dogo la Usajili likifunguliwa tu Onana wa Simba SC aachwe na ikiwezekana hata na Baleke pia

Kwa sababu huangalii mpira unaangalia magoli.......
Mfano mwepesi mechi ya Jana, goli zote katengeneza yeye. Ila kwakuwa unapenda moments utawaona chama na kibu aliyefunga.
Mpira umefikaje hapo wewe hilo hutaki kujua.
 
Mh sasa huyo kanoute unayemsema jana kahusika na goli zote mbili walizofunga simba acha chuki za wazi huna lolote mbona alisema hamtaki chama watu wakampigia kelele sasa hivi anaanza yaani hata kama una Caf liseni A ila kibu denis na moses phiri kila mtu anajua pumba na mchele mpira unachezwa uwanjani sio chumbani hata kibu denis achukue balon do'r hawezi kuwa bora mbele ya chama na moses phiri.
 
Umri ule Yanga wamroge kwa kiwango gani!45 yrs old halafu mnachezesha dk 90 nyie ni wauwaji!
 
Rubbish Mimi ningekuwa moderate ningekuwa nafuta post za kijinga kama hii

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo lile lile la watanzania kujua kila kitu kuliko hao wanaosomea kazi zao. Huwezi kumpima Onana kwa mechi chache alizocheza.

Baleke pia huwezi kumpima kwa mechi ya Al Ahly ambayo ni timu namba moja barani afrika. Al Ahly ni timu kubwa sana na huwezi kuitumia kwa kumpima Baleke.
 

KIBU ni 7,11
PHIRI 10,9

WAPI NA WAPI??????

FICHA UJINGA KAKA.
PHIRI HAKUNA MCHEZAJI MULE
 
Utakula banned hadi ukome

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
 
Si bure,unaishi kwa kuhongwa uivuruge Simba.
Una account nyingi humu na inayofuata umetaja wachezaji.Wewe ni mtu wa hovyo sana
 
List ya Wachezaji wa kukataa ni Ile Ile.
TUKIWABAKISHA HAWA TUTALAUMIANA BAADAYE.

1.AYOUB LAKRED.
2. AUBIN KRAMO
3. MIQUISSONE.
4. ONANA.
5 .PHIRI
6. (KANUTE)
7. ( SAIDO)

waliowekwa kwenye Mabano Bado naendelea kuwatafiti zaidi na zaidi.

NA ANAYESAJILI HAWA MAGALASA AKINA SAWADOGO ATUPISHE.
 
KIBU ni 7,11
PHIRI 10,9

WAPI NA WAPI??????

FICHA UJINGA KAKA.
PHIRI HAKUNA MCHEZAJI MULE
Sizungumzii position nazungumzia impact kwenye team kama unaamini kibu anafaa kucheza simba basi ww ni kilaza wa mpira mchezaji nafasi kumi analenga goli mara moja tu yale yale ya mugalu eti alikuwa anakaba
 
Umeangalia kiufundi zaidi nilishangaa wamekazana kumkomalia Banda wakati mbadala wake hamna kitu. Saidoo umri wa kucheza na wajukuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…