Tafadhali dirisha Dogo la Usajili likifunguliwa tu Onana wa Simba SC aachwe na ikiwezekana hata na Baleke pia

pwilo

Labda Tufanye Huu mjadala kiufundi kidogo na kuweka USHABIKI Nje.

Moses Phili alisajiliwa Simba kama Mshambuliaji WA pili( second straiker.) HASA kwenye No 10

Aliposajiliwa Simba aliwakuta Chama,, Sackho na Baadaye Saido kwenye Hiyo position.

Wakati Koach wa Simba Zoran Mark anatua Mchezo wake wa kwanza alicheza na yanga na kumtumia kyombo kwenye safu ya Ushambuliaji

ROBERTINHO alimjaribubu Phili na kuona uwezo wake ni Duni na kuanza kumtumia Baleke.

KIUFUNDI SASA.
1. Uwezo Mkubwa WA Phiri ni kupiga mashuti kwa Miguu yote miwili.
2. Anauwezo mkubwa WA KUKIMBIA na Kasi yake ni kubwa.

MADHAIFU.
1. Anaumia Kila Dakika.
2. Anaanguka anguka sana uwanjani.
3. Ni mfupi wa kimo.
4.uwezo wake wa kukaa na mpira ni mdogo sana.
5. Anapoteza poteza mipira Mingi.

Nakaribisha swali kabla sijaenda kwa KIBU.
 
Kwanini KIBU Denis awapige Benchi akina MIQUISSONE, Onana, Kramo,

1. KIBU Denis ni Moja kati ya Wachezaji watatu Tanzania ambao wapo fiti fiti fiti MNO( fitness level yake IPO juu mno)

2. Ni mchezaji Mwenye nidhamu kubwa mno Rasta man

3. Ana NGUVU kubwa Sana na anakimbia kilomita nyingi zaidi ndani ya Uwanja ukimtoa Mzamiru.

4. Anafanya kile alichoelekezwa na Coach wake kama ni Kuishambulia atakupa 100 kukaba 100

5. Atakufungia MAGOLi kwenye michezo Muhimu zaidi.

MCHEZAJI HATA KAMA HAFUNGI LAKINI ANAONGOZA KWA KUTIMIZA MAJUKUMU YAKE NA KUJITUMA ZAIDI UWANJANI UNAMPA NAFASI.
 
Bado kuna shida SCOUTING TEAM...
Hiyo list ROBERTINO, ...hata simba wafanye usajili fani ...

inahitaji kocha atayerudisha muscles za Simba
 
Bado kuna shida SCOUTING TEAM...
Hiyo list ROBERTINO, ...hata simba wafanye usajili fani ...

inahitaji kocha atayerudisha muscles za Simba

NILIISHA LISEMA HILI MKUU.

TATIZO WATOTO HAWA HUWA HAWAELEWI.

Simba waliona Bora Miquesson Kuliko kiungo WA UKABAJI Efue Novon

Waliona wasajili AYOUB MDAKA Panzi kuliko Simon Omosola na John Noble....

 
MSIMU Huu kati ya wachezaji 8
Ni wawili tu wanao onyesha Uhai.

Napenda sana Sauti Ile AMBAYO kaduguda Huwa analalamika sana Kwa Uongozi WA Simba kumleta SAWADOGO.
 
Myacheni phri tumchukue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafsiri yake ni kwamba CAPO DELGADO hakuchukii ila kwa kuwa haupo smart unadhani anakuchukia
 
Kramo ni majeruhi hvyo list yko ni batili unamfananisha majeruhi na mtu ambaye yko sawa hapo ndio naona unaongea kishabiki kuliko uhalisia
 

Ur a very poor judge of character. Sidhani kama unaweza kupewa kazi TISS kwa akili hizi. Duh yani Likud na Namugari wapi na wapi? Ufanano wao upo wapi ?
 
Kramo ni majeruhi hvyo list yko ni batili unamfananisha majeruhi na mtu ambaye yko sawa hapo ndio naona unaongea kishabiki kuliko uhalisia

MIMI SHERIA YANGU MCHEZAJI MZURI HUWA HAUMII HATA SIKU MOJA

yani hakuna Mchezaji Mzuri akakosekana uwanjani kwa ZAIDI ya Week tatu

Mchezaji yoyote ambaye ni injury prone hafai na HAJUI MPIRA.

Labda iwe Exception sana Afanyiwe Upasuaji
Eg Manura.

MBAKA anaondoka Simba mtakuwa mnaimba Majeruhi majeruhi Kramo. Kumbe hakuna kitu ndio wale wale

Aubin kramo.
Peter Banda
Junior Lokosa.
Peter Moduha

WOTE HAPO WALOSINGIZIA MAJERUHI KUMBE NI WACHEZAJI WABOVU.......
 
Hawa makocha usiwaamini sana kipindi Didier Gomez anamuanzisha mugalu mbele ya kagere mashabiki walipaza sauti zao lakini baadae ilikuja kujulikana kwamba kagere na Gomez walikuwa na ugomvi kwasababu ya interest ya national team kwa hyo usiamini 100% makocha wa bongo robertinyo wakati alipokuja akaanza kumuweka benchi chama aliambiwa lazima acheze au robertinyo atafute njia ya kwenda matokeo yke chama anaanza kila mechi ni juzi tu aliyekuwa kocha wa singida aliondoka baada ya kudai kuna watu wanampangia wachezaji wa kucheza soka la bongo ukiachana na mambo ya technical kuna mambo mengi nyuma ya pazia hyo phiri mgunda alikuwa anamtumia na alikuwa anacheza vizuri kila mechi anatupia kimataifa.

SOKA LETU KIVYETU VYETU
 
Ur a very poor judge of character. Sidhani kama unaweza kupewa kazi TISS kwa akili hizi. Duh yani Likud na Namugari wapi na wapi? Ufanano wao upo wapi ?
Aliyekuambia nataka Kazi TISS au nipo TISS nani? Acha Upumbavu na Unafiki na jua kuwa kuna Watu tuna Akili nyingi hadi tunataka tuwagawie Wengine ( hasa Wewe ) ambaye huna ili Ubadilike na usiendelee kuwa Kituko na Useless Chap hapa JamiiForums sawa?
 
Anatamanigi tuzo zako ,kuzipata Sana ndo shughuli ilipo
 


We kweli mpira Bado sana mkuu
HATA NIKIKUELEKEZA HUWEZI KUELEWA.

Yani KOCHA yoyote Duniani hawezi akamuacha MUGALU akacheza na KAGERE.

JARIBU kuangalia Ufaransa alipokuwa BINGWA wa Kombe la Dunia 2018
Olivier Giloud Alicheza Mechi zote
Hadi Fainali na HAKUWA na goli hata Moja
(Alikuwa anaact kama Target man)


MUGALU Alikuwa Target man.
MIPIRA yote inaenda kwake anaicontrol na kurudisha kwa Akina Chama, MIQUISSONE, Bwalya , Morison, Dilunga nk.

Kagere Alikuwa haweza hata kukaa na Mali hakuna mchezaji pale.
Kagere = phiri

Dunia haitaki aina Hiyo ya washambuliaji
Ndio maana unawaona akina Ibrahimovich, Haland, Drogba, Tores nk
HAO wote ni target man

JIFUNZE MPIRA USIJIFUNZE USHABIKI.
 
Wewe GENTAMYCINE una akili gani?, Wewe ni sawa na Juma Lokole tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…