Tafadhali GenZ msije mkaingia huu mtego wa Maria kuvamia magereza, mtachakazwa vibaya mno

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Huyu kigagula alipofikia ni pabaya. GenZ yeyote atakayethubutu kuvamia magereza kisa kaambiwa na shetani Maria ajue kitakachompata sio kitu kizuri. Anaweza pata ulemavu wa kudumu au kifo. Watapigwa wachakae. Kwa msiofahamu ni kuwa Askari Magereza hupitia mafunzo magumu sana kuliko askari wa kawaida kwa sababu wanaenda kukabiliana na wafungwa ambao wengine ni wahalifu hatari.

====
"Hadi raha! Iran waandamanaji wamevania magereza yasiyo rasmi na wamewakomboa wenzao 🔥
Tunatakiwa kujaribu tena kwenda kuwkomboa ndugu zetu si kukaa kusubiri huruma ay mtu wa nje kutukomboa Ndo maana ya maandamano bila kikomo! Sisi tunajua hizi safe houses - na tukiamua tunaweza!
Uwezo tunao, Nia tunayo na Sababu tunazo ". Maria Sarungi​
1767259363710.png
 
swali ambalo labda ulipaswa kujiuliza kwa nini islamic republic of iran haikuwamwagia risasi raia wake kama vile satanic regime ilivyofanya tanzagiza? nini kiliwashinda / wazuia islamic republic kumwaga risasi na ''kuwachakaza vibaya'' ? ...
 
Kwa nini watu wafikirie kwenda kuvamia magereza?
 
swali ambalo labda ulipaswa kujiuliza kwa nini islamic republic of iran haikuwamwagia risasi raia wake kama vile satanic regime ilivyofanya tanzagiza? nini kiliwashinda / wazuia islamic republic kumwaga risasi na ''kuwachakaza vibaya'' ? ...
Iran sio Tanzania. Kila nchi ina taratibu zake.
 
Nadhani Panyaroad dawa yao wanaijua.

OLE WENU 👉
 
  • Thanks
Reactions: Tui
swali ambalo labda ulipaswa kujiuliza kwa nini islamic republic of iran haikuwamwagia risasi raia wake kama vile satanic regime ilivyofanya tanzagiza? nini kiliwashinda / wazuia islamic republic kumwaga risasi na ''kuwachakaza vibaya'' ? ...
Muislam haui muislam mwenzake, ila mgalatia na kafir tu
 
Iran sio Tanzania. Kila nchi ina taratibu zake.

sawa, usisahau hata islamic republic of iran wana majeshi pia tena yenye nguvu klk tanzagiza lkn hawajayatumia against their own people mpaka wanavunja mageraza unafikiri ni kwa nini? isitoshe mbona bosi wako kawa mnyonge na tone imebadilika kutoka ubabe wa mimi ndio amiri jeshi mkuu, hakuna nywi nywi, who are you? mpaka kinyonge jana? ...
 
Huyu kigagula alipofikia ni pabaya. GenZ yeyote atakayethubutu kuvamia magereza kisa kaambiwa na shetani Maria ajue kitakachompata sio kitu kizuri. Anaweza pata ulemavu wa kudumu au kifo. Watapigwa wachakae. Kwa msiofahamu ni kuwa Askari Magereza hupitia mafunzo magumu sana kuliko askari wa kawaida kwa sababu wanaenda kukabiliana na wafungwa ambao wengine ni wahalifu hatari.

====
"Hadi raha! Iran waandamanaji wamevania magereza yasiyo rasmi na wamewakomboa wenzao 🔥
Tunatakiwa kujaribu tena kwenda kuwkomboa ndugu zetu si kukaa kusubiri huruma ay mtu wa nje kutukomboa Ndo maana ya maandamano bila kikomo! Sisi tunajua hizi safe houses - na tukiamua tunaweza!
Uwezo tunao, Nia tunayo na Sababu tunazo ". Maria Sarungi​

Safe houses siyo magereza ba hazilindwi na maafisa magereza.
 
Ni kweli Nyumbu wanaomfata Kigagula Maria Sarungi na Kigagula Mangekimambi wote hawana akili, lakini kwa kichapo kile walichopata October 29 ni dozi kubwa mno kuliko ugonjwa wao, nyumbu zote zimepona.

Kwa kichapo kile walichokutana nacho Nyumbu hakuna Nyumbu atakaejaribu kusogelea gereza lolote na atakaejaribu kufikiria achilia mbali kusogea moja kwa moja atapelekwa death row bila kupitia mahakamani.

Hakuna huruma kwa nyumbu, nyumbu zote zitashughulikiwa kwelikweli.
 
Back
Top Bottom