Tafadhali GenZ msije mkaingia huu mtego wa Maria kuvamia magereza, mtachakazwa vibaya mno

Huyu kigagula alipofikia ni pabaya. GenZ yeyote atakayethubutu kuvamia magereza kisa kaambiwa na shetani Maria ajue kitakachompata sio kitu kizuri. Anaweza pata ulemavu wa kudumu au kifo. Watapigwa wachakae. Kwa msiofahamu ni kuwa Askari Magereza hupitia mafunzo magumu sana kuliko askari wa kawaida kwa sababu wanaenda kukabiliana na wafungwa ambao wengine ni wahalifu hatari.

====
"Hadi raha! Iran waandamanaji wamevania magereza yasiyo rasmi na wamewakomboa wenzao 🔥
Tunatakiwa kujaribu tena kwenda kuwkomboa ndugu zetu si kukaa kusubiri huruma ay mtu wa nje kutukomboa Ndo maana ya maandamano bila kikomo! Sisi tunajua hizi safe houses - na tukiamua tunaweza!
Uwezo tunao, Nia tunayo na Sababu tunazo ". Maria Sarungi​
Screenshot_20251212-173144~2.png
 
Vitisho havisaidii,kikubwa cha kujua ni kuwa ni kwanini wanafikia kuwaza hivyo.Vitisho tayari vilishaonekana kushindwa katika matukio yaliyotangulia kila aina ya vitisho,mateso,utekaji,unyanyasaji wa kila aina na wakinyama uliyoonekana kutisha,kama utekaji na kesi za kubumba.Hivyo acha vitisho ila sikiliza hoja na ikiwezekana majibu sahihi ya hoja husika vipatikane tena kwa wakati na kwa heshima.
 
Vitisho havisaidii,kikubwa cha kujua ni kuwa ni kwanini wamafikia kuwaza hivyo.Vitisho tayari vilishaonekana kushindwa katika matukio yaliyotanguliza kila aina ya vitisho,mateso,utekaji,unyanyasaji wa kila aina na wakinyama uliyoonekana kutisha,kama utekaji na kesi za kubumba.Hivyo acha vitisho ila sikiliza hoja na ikiwezekana majibu sahihi ya hoja husika vipatikane tena kwa wakati na kwa heshima.
Serikali haina muda wa kupoteza kujadiliana na wahalifu.
 
swali ambalo labda ulipaswa kujiuliza kwa nini islamic republic of iran haikuwamwagia risasi raia wake kama vile satanic regime ilivyofanya tanzagiza? nini kiliwashinda / wazuia islamic republic kumwaga risasi na ''kuwachakaza vibaya'' ? ...
Inawezekana Wairan wanaandamana ila wale wa Tanzania hawakuandamana bali walikuwa wanafanya uhalifu, usijitoe akili.
 
swali ambalo labda ulipaswa kujiuliza kwa nini islamic republic of iran haikuwamwagia risasi raia wake kama vile satanic regime ilivyofanya tanzagiza? nini kiliwashinda / wazuia islamic republic kumwaga risasi na ''kuwachakaza vibaya'' ? ...
Washachezea risasi huko
 
Back
Top Bottom