MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Muulize dada yako Maria Sarungi.Kwa nini watu wafikirie kwenda kuvamia magereza?
Iran sio Tanzania. Kila nchi ina taratibu zake.swali ambalo labda ulipaswa kujiuliza kwa nini islamic republic of iran haikuwamwagia risasi raia wake kama vile satanic regime ilivyofanya tanzagiza? nini kiliwashinda / wazuia islamic republic kumwaga risasi na ''kuwachakaza vibaya'' ? ...
Utakuwa unamlia sana nyeto
Yeye ndiye ameleta hiyo taarifa hapa??Muulize dada yako Maria Sarungi.
Ni mamako mzazi kaletaYeye ndiye ameleta hiyo taarifa hapa??
Ndiye ameleta hiyo taarifa hapa??Ni mamako mzazi kaleta
Wewe nyumbu mind your business.Ndiye ameleta hiyo taarifa hapa??
Tawala hizi za kishetani huishia kuanguka vibaya na kwa aibu,pamoja na vibaraka wao kama weweNi mamako mzazi kaleta
CCM bado ipo sana mkuu.. hata vitukuu vyetu vitaiacha CCM inadundaTawala hizi za kishetani huishia kuanguka vibaya na kwa aibu,pamoja na vibaraka wao kama wewe
Muislam haui muislam mwenzake, ila mgalatia na kafir tuswali ambalo labda ulipaswa kujiuliza kwa nini islamic republic of iran haikuwamwagia risasi raia wake kama vile satanic regime ilivyofanya tanzagiza? nini kiliwashinda / wazuia islamic republic kumwaga risasi na ''kuwachakaza vibaya'' ? ...
Iran sio Tanzania. Kila nchi ina taratibu zake.
Huyu kigagula alipofikia ni pabaya. GenZ yeyote atakayethubutu kuvamia magereza kisa kaambiwa na shetani Maria ajue kitakachompata sio kitu kizuri. Anaweza pata ulemavu wa kudumu au kifo. Watapigwa wachakae. Kwa msiofahamu ni kuwa Askari Magereza hupitia mafunzo magumu sana kuliko askari wa kawaida kwa sababu wanaenda kukabiliana na wafungwa ambao wengine ni wahalifu hatari.
====
"Hadi raha! Iran waandamanaji wamevania magereza yasiyo rasmi na wamewakomboa wenzao 🔥
Tunatakiwa kujaribu tena kwenda kuwkomboa ndugu zetu si kukaa kusubiri huruma ay mtu wa nje kutukomboa Ndo maana ya maandamano bila kikomo! Sisi tunajua hizi safe houses - na tukiamua tunaweza!
Uwezo tunao, Nia tunayo na Sababu tunazo ". Maria Sarungi
Hahahahahaaaaa. Yani nampenda kuliko navyojipenda.Utakuwa unamlia sana nyeto