Huyu kigagula alipofikia ni pabaya. GenZ yeyote atakayethubutu kuvamia magereza kisa kaambiwa na shetani Maria ajue kitakachompata sio kitu kizuri. Anaweza pata ulemavu wa kudumu au kifo. Watapigwa wachakae. Kwa msiofahamu ni kuwa Askari Magereza hupitia mafunzo magumu sana kuliko askari wa kawaida kwa sababu wanaenda kukabiliana na wafungwa ambao wengine ni wahalifu hatari.
====
"Hadi raha! Iran waandamanaji wamevania magereza yasiyo rasmi na wamewakomboa wenzao 🔥
Tunatakiwa kujaribu tena kwenda kuwkomboa ndugu zetu si kukaa kusubiri huruma ay mtu wa nje kutukomboa Ndo maana ya maandamano bila kikomo! Sisi tunajua hizi safe houses - na tukiamua tunaweza!
Uwezo tunao, Nia tunayo na Sababu tunazo ". Maria Sarungi
Dah kweli tumetofautiana huyo hata kumfikiria tu hapana aseeHahahahahaaaaa. Yani nampenda kuliko navyojipenda.
Hahahahahaaaaa meku ebu kula chuma hicho. 👇🏿Dah kweli tumetofautiana huyo hata kumfikiria tu hapana asee
Hamna kitu humo🚮
Duh Sio aina zangu hizo bwasheeHahahahahaaaaa nyingine hiyo hapo.
View attachment 3523664
Kumbuka huyo manzi ni single motherHahahahahaaaaa. Yani nampenda kuliko navyojipenda.
Aliachika? Mkuu muelezee kidogo na kiundani kwao ni wapi...Kumbuka huyo manzi ni single mother
Vitisho havisaidii,kikubwa cha kujua ni kuwa ni kwanini wanafikia kuwaza hivyo.Vitisho tayari vilishaonekana kushindwa katika matukio yaliyotangulia kila aina ya vitisho,mateso,utekaji,unyanyasaji wa kila aina na wakinyama uliyoonekana kutisha,kama utekaji na kesi za kubumba.Hivyo acha vitisho ila sikiliza hoja na ikiwezekana majibu sahihi ya hoja husika vipatikane tena kwa wakati na kwa heshima.Huyu kigagula alipofikia ni pabaya. GenZ yeyote atakayethubutu kuvamia magereza kisa kaambiwa na shetani Maria ajue kitakachompata sio kitu kizuri. Anaweza pata ulemavu wa kudumu au kifo. Watapigwa wachakae. Kwa msiofahamu ni kuwa Askari Magereza hupitia mafunzo magumu sana kuliko askari wa kawaida kwa sababu wanaenda kukabiliana na wafungwa ambao wengine ni wahalifu hatari.
====
"Hadi raha! Iran waandamanaji wamevania magereza yasiyo rasmi na wamewakomboa wenzao 🔥
Tunatakiwa kujaribu tena kwenda kuwkomboa ndugu zetu si kukaa kusubiri huruma ay mtu wa nje kutukomboa Ndo maana ya maandamano bila kikomo! Sisi tunajua hizi safe houses - na tukiamua tunaweza!
Uwezo tunao, Nia tunayo na Sababu tunazo ". Maria Sarungi
Sijajua ila ana mtoto.Aliachika?
Serikali haina muda wa kupoteza kujadiliana na wahalifu.Vitisho havisaidii,kikubwa cha kujua ni kuwa ni kwanini wamafikia kuwaza hivyo.Vitisho tayari vilishaonekana kushindwa katika matukio yaliyotanguliza kila aina ya vitisho,mateso,utekaji,unyanyasaji wa kila aina na wakinyama uliyoonekana kutisha,kama utekaji na kesi za kubumba.Hivyo acha vitisho ila sikiliza hoja na ikiwezekana majibu sahihi ya hoja husika vipatikane tena kwa wakati na kwa heshima.
Je wao GenZ wanao muda wa kubembelezana na wahalifu?Serikali haina muda wa kupoteza kujadiliana na wahalifu.
Inawezekana Wairan wanaandamana ila wale wa Tanzania hawakuandamana bali walikuwa wanafanya uhalifu, usijitoe akili.swali ambalo labda ulipaswa kujiuliza kwa nini islamic republic of iran haikuwamwagia risasi raia wake kama vile satanic regime ilivyofanya tanzagiza? nini kiliwashinda / wazuia islamic republic kumwaga risasi na ''kuwachakaza vibaya'' ? ...
Keyboard warrior endelea kujitoa ufahamuJe wao GenZ wanao muda wa kubembelezana na wahalifu?
Washachezea risasi hukoswali ambalo labda ulipaswa kujiuliza kwa nini islamic republic of iran haikuwamwagia risasi raia wake kama vile satanic regime ilivyofanya tanzagiza? nini kiliwashinda / wazuia islamic republic kumwaga risasi na ''kuwachakaza vibaya'' ? ...