JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Hehehe mfadhili upo? Afu nna shida ya walau milioni 30 tu za madafu . Tule tuapartment alikuwa amejenga Pasco naona sijui kafulia. Uchangie kuweka umeme basi jameni.
Kwa hako kaswali kaduchu tu, hakawii kukufungulia sredi ya kutoa jibu tu!!
Hadija, Mtwara - pesa ya matumizi chuo. Magge mbeya pocket money, linda dar - anataka nimfungulie biashara. Tina dsm- anataka smart phone....