Tafadhali inakuhusu na usiwe mkali hadi unitishie kwenye PM

We manoah ..... Yaani mi mpaka nimekutafuta kwa simu.... Bahati yako hupatikani....
 
Last edited by a moderator:
Sasa we manoah hujui kuwa hawa chini ya 1980 sasa ni choka choka a.k.a wamekongoroka? We kwanza upo kundi moja na mimi.... Ipad na Iphone inakuhusu
 
Last edited by a moderator:
Hehehe mfadhili upo? Afu nna shida ya walau milioni 30 tu za madafu . Tule tuapartment alikuwa amejenga Pasco naona sijui kafulia. Uchangie kuweka umeme basi jameni.
We manoah ..... Yaani mi mpaka nimekutafuta kwa simu.... Bahati yako hupatikani....
 
Last edited by a moderator:
Hehehe mfadhili upo? Afu nna shida ya walau milioni 30 tu za madafu . Tule tuapartment alikuwa amejenga Pasco naona sijui kafulia. Uchangie kuweka umeme basi jameni.

Hadija, Mtwara - pesa ya matumizi chuo. Magge mbeya pocket money, linda dar - anataka nimfungulie biashara. Tina dsm- anataka smart phone....
 
Last edited by a moderator:
mimi nipo kwenye kundi lile,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
manoah inaelekea kuna unachokitafuta leo........huyu mimisa huyu sijui kichwa chako amekifanyaje.........au kuna kitu mlikuwa mnavuta naya? Ni cha wapi,meru?

Nilikuambia mapema mtoto wako kaharibika kama wewe ukakataa yako wapi sasa.
 
Last edited by a moderator:
hii! kali mi nijuu ya 1984,kuhusu mambo ngoja nitamuuliza my only kama naweza
 
mie mizinga yangu ya maana. hao wa pesa za matumizi watumie kwa mpesa. ndo maana kama hauna card ya kuchanja ama cheque book sitoki na wewe. manake hizo milioni utanipea kwenye rambo?
Hadija, Mtwara - pesa ya matumizi chuo. Magge mbeya pocket money, linda dar - anataka nimfungulie biashara. Tina dsm- anataka smart phone....
 
manoah kweli mkaka una jambo unalotafuta wewe humu mjengoni au umechoka kukaa humu nitamwambia naibu sipika akutoe
 
Last edited by a moderator:
Wallah nimedhalilishwa na mtoto wangu mwenyewe Bishanga chukua hatua we mwenyewe umeambiwa domo zege
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…