JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
mie mizinga yangu ya maana. hao wa pesa za matumizi watumie kwa mpesa. ndo maana kama hauna card ya kuchanja ama cheque book sitoki na wewe. manake hizo milioni utanipea kwenye rambo?
manoah kweli mkaka una jambo unalotafuta wewe humu mjengoni au umechoka kukaa humu nitamwambia naibu sipika akutoe
wewe haupo pote pote
abeeee manoah unasemaje au maneno yamekuchoma moyo sana sema usikike
ladyfurahia hapana mie nafurahaaaaaaa
ladyfurahia hapana mie nafurahaaaaaaa
angalia furaha ikizidi sana baadaye inageuka kuwa huzuni shauriroo