nimekua na huzuni na sasa nafuraha
usinge muita kwanza, alafu ndio ungeziomba
basi nifundishe namna ya kufanya ili nizipate hiozo hela best
njoo nyumbani basi mida ya asubuhi... nitakufundisha
sitaki kuja asubuhi nataka jioni ndo nina muda asubuhi niko bize
Na enjoy ID zilivyokuwa merged mi mpashunakuKwa hako kaswali kaduchu tu, hakawii kukufungulia sredi ya kutoa jibu tu!!
Na enjoy ID zilivyokuwa merged mi mpashunaku
Huyu mtoto wenu alikuwa mtukutu sana...
Huyu mtoto wenu alikuwa mtukutu sana...
kwani Zero One Two ndo umri wako nn maana hii mada mmmh hainivutii
We acha tu kuna ID kama tatu za watu wengine zimekuwa merged humu hadi rahaaaa naenda kufujunyua thread nyingine nainjoyi ze shoo
Ha ha ha!!!
Huyu mwanao hata hapa sredini tupo naye ila ndio kavaa nguo nyingine maisha yanaendelea
ndani hapa raha tupu...