Kwa hiyo mkuu unafikiria ukienda huko maisha yatakuwa kama unavyofikiria ,yaani overnight tu mambo yanabadilika ? Huko hamna hasara sio ? Ni faida tu ? Wewe kama umeweza kuweka misingi yako vizuri Tanzania endelea kupambana mambo yatakaa sawa na badala ya kwenda kubeba box Marekani utakuwa unaenda Hawii kila mwisho wa mwaka kupeleka familia kupumizkaB
Biashara yenyewe sio ya kudumu na pia ipo palepale haikui mapato yanazidi kushuka ,nilijaribu kulima nikapata hasara ya 5M kumbe nilinunua mbegu fake kariakoo na dawa pia zilikuwa fake na tulikuwa wengi tulilima sehemu tofauti tofauti tukapata hasara wote, hii nchi haina muda na wakulima kabisaa zaidi ya blah blah
Sio kwa nchi hii labda tusubiri 2020Kwa hiyo mkuu unafikiria ukienda huko maisha yatakuwa kama unavyofikiria ,yaani overnight tu mambo yanabadilika ? Huko hamna hasara sio ? Ni faida tu ? Wewe kama umeweza kuweka misingi yako vizuri Tanzania endelea kupambana mambo yatakaa sawa na badala ya kwenda kubeba box Marekani utakuwa unaenda Hawii kila mwisho wa mwaka kupeleka familia kupumizka
Kila la kheri kwakoSio kwa nchi hii labda tusubiri 2020
asante na kuhusu selection mara baadaya majibu ya May zinakua mwisho ngapi kutoka maana umesema wewe umepata selection ya mwezi SeptemberInachukua muda si chini ya miezi 6 kukamilisha process zote
ha haaa haaaa uzi huu ungekuwa haramu kama nisingekuona usa baby
Huwa mara nyingi ni mwezi may lakin mwezi September hutokea mara chache si kila mwaka hutokea ndo maana wanasema ni vizuri kuitunza kumbukumbu namba na kucheki Mara kwa mara mpaka mwaka husika utapoishaasante na kuhusu selection mara baadaya majibu ya May zinakua mwisho ngapi kutoka maana umesema wewe umepata selection ya mwezi September
Dah ns mimi nasubiri majib ya may pia hopefully itatick niendelee na processasante na kuhusu selection mara baadaya majibu ya May zinakua mwisho ngapi kutoka maana umesema wewe umepata selection ya mwezi September
Huko texas wabongo wanafkiNakushauri endelea na issue zako tz, yaan huku husije mpaka ujipange vizur wenzio huku Texas wanapata tabu
Mimi sio mtu wa starehe napenda sana kupambana ktk maisha na ndo maana nips apa nilipo tatizo bongo market bacon ngumu sana ,rushwa,government policy zinachange everyday na kujuana kwingi sana ndo vitu vinatukwamisha sana katika harakati za kutafuta pesa,najua maisha ni popote lakini bongo vikwazo vingi mpaka ujuane na vigorously ndo utafanikiwaKama tayari una maisha yametulia endelea tu kukaa huko.
Ila kama mambo hayajakaa sawa bora ukimbie tu, tusidanganyane Marekani kazi ngumu kwa mtu ambaye hajielewi au hajasoma na hayupo competitive kabisa, ila kuna chance kubwa ya kutengeneza pesa kwa mtu aliyetulia kuliko bongo.
Market ni kubwa sana, ukifanya kitu kuna mtu wa kununua siku zote tena kwa margins kubwa balaa.
Natumai utafanikiwa kama ulikidhi vigezo vya pic ha,tatizo wabongo hatuelekezani vitu kama ivi,wenzetu wakenya wanacheza sana Huu mchezo na wanaenda huko ,wanaigeria mpaka wafungiwa kushiriki kwasababu wamekuwa wengi sana huku marekani hata china mainland wamefungiwa kushirikiDah ns mimi nasubiri majib ya may pia hopefully itatick niendelee na process
Kama unajitambua na unaishu zako usieende isee,me ndugu zangu wamerud mikono mitupu isee kutwa kulaumu watu tu hapa hawana mbele wala nyuma,kazi yao kubwa ilikuwa ni kupiga picha tu kwenye majengo mara white house mara kule wasijue umri unayoyomaNaomba Msaada kwa wenu kwa wale wenye uzoefu na hili jambo,
Nimeshinda iyo dv lottery 2016/2017 nilichaguliwa kwenye second selection September,
Sasa Nipo njia panda niendelee na process au nipotezee,nasikia maisha ya marekani magumu sio kama zamani na Kazi pia hazipatikani kirahisi, naogopa nisije kujuta .. Nina miaka 32 ,nimeoa na Nina mtoto mmoja 3yrs old,Nina biashara na nimefanikiwa kujenga nyumba.
Na sasa maisha bongo ndo yanazidi kuwa magumu na biashara pia ngumu,naombeni ufafanuzi kuhusu maisha ya marekani,.
Nahitaji kufanya maamuzi yaliyo sahihi..
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU .