Tafadhali kwa watanzania wanaoishi Marekani pita hapa

Tafadhali kwa watanzania wanaoishi Marekani pita hapa

Status
Not open for further replies.
Mkuu, you will make it.

Jirani yangu walikuwa na elimu ya sekondari tu. Mke akashinda lottery.

Japokuwa hawana uwezo mkubwa lakini wamefanikiwa kununua nyumba (kwa mkopo) na Wazazi wanafanya kazi walmart na katika gereji ya magari. Wameweza kusoma jioni ili wapate elimu zaidi ya kuwasaidia kupata kazi. Wapo New York.

Watoto wote wamefaulu kusoma Chuo Kikuu.

Utafanikiwa tu. Jipange na jitayarishe kubadilika kimaisha.

Just do your homework.
Pamoja sana mkuu,wasiwasi wangu ulikuwa ni kwenye kazi niendee huko na family ikatokea sijapata kazi itakuwaje na akiba yangu ndo nishaitumia kufika huko
 
Life style. Mbwebwe zinataka uwezo. Wee kama mchapa kazi, na mtu simple tuu, you will be more than okay.
Kanuni za maisha ni zilezile tu popote pale.

Kwani kwa mfano bongo mbwembwe hazihitaji uwezo wa kifedha?

Hata bongo usipokuwa mchapa kazi maisha yatakupiga tu.

Mbona kila siku huku mitaani watu tunawaona waliopigika...

Mbaya zaidi wapo wafanyakazi walio wachapa kazi na waadilifu lakini bado maisha yao ni magumu tu.

Mimi naamini kabisa kiwa kanuni za maisha ni zilezile popote pale.

Usipokuwa mchapa kazi na mtu mwenye nidhamu lazima tu utapata wakati mgumu na maisha yako.

Maisha mazuri yanahitaji nidhamu ya hali ya juu....uwe unaishi Manyoni au Maine....kanuni ni zilezile tu.
 
Nimeshriki kama single vipi kuna ugumu hapo na uki apply ya family? Ya na issue iko pale kwenye picha wanaihitaji uipige na jinsi utakavyoonekana kwenye pic kusiwe na makosa[/QUOTE
Ukiwa single gharama za kukufikisha marekani zitakuwa ndogo tofauti ukiwa na family
Nilisikia watu wengi hawachaguliwi hasa watz wanakosea masharti ya picha
 
a3417aecac39b93fe279e33ec4d2955d.jpg

Ecuador branch.

f00859b65dcc0fde2f86a39fb761a75a.jpg

Honduras Branch

531b2ba2cef83bdbc37e53e0b265f714.jpg

INDIA branch

c64d3339bee5953a84c954124c81fc13.jpg

Indonesia branch

The world is a village.
 
Pamoja sana mkuu,wasiwasi wangu ulikuwa ni kwenye kazi niendee huko na family ikatokea sijapata kazi itakuwaje na akiba yangu ndo nishaitumia kufika huko

Kusema kweli, kazi inategemea na connection sana. Wale jirani walikuwa na ndugu wa damu. Aliwasaidia sana.

Kutafuta kazi peke yako ni vigumu lakini inawezekana. Competition Marekani ni kubwa. Kuna vyuo zaidi ya 5000, kila kazi kuna applicant 200 na zaidi.

Lakini sitaki kukukatisha moyo. Ni juhudi yako tu lakini si rahisi. Inataka moyo sana. Connection inasaidia sana.
 
S
Kanuni za maisha ni zilezile tu popote pale.

Kwani kwa mfano bongo mbwembwe hazihitaji uwezo wa kifedha?

Hata bongo usipokuwa mchapa kazi maisha yatakupiga tu.

Mbona kila siku huku mitaani watu tunawaona waliopigika...

Mbaya zaidi wapo wafanyakazi walio wachapa kazi na waadilifu lakini bado maisha yao ni magumu tu.

Mimi naamini kabisa kiwa kanuni za maisha ni zilezile popote pale.

Usipokuwa mchapa kazi na mtu mwenye nidhamu lazima tu utapata wakati mgumu na maisha yako.

Maisha mazuri yanahitaji nidhamu ya hali ya juu....uwe unaishi Manyoni au Maine....kanuni ni zilezile tu.
sidhani kama Kanuni za maisha ziko sawa afrika bado tunabebana sana kama huna mtu wa kuunganishia upate kazi au tenda bass rushwa inakuhusu kama huna rushwa ata ufanye kazi utokwe na jasho la damu hakuna mafanikio,
Kwenye biashara market hakuna,na ukipata market nzuri serikali itakusumbua wewe hadi bass
Kilimo ni balaaa jingine hilo siwezi kudadavua ntalia buree
Ukija kwenye vifaa vya ujenzi ni shidaa
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Natamani lakini naogopa nisije jutia baadae,naona nifanye research kabla sijaamua, watu wanasema maneno mengi kuhusu Maisha ya marekani
Utajutia Vipi wewe? Au nikuite bwege? Unataka kulinganisha nchi Ya third world na Marekani? Kubwa jinga halafu kunguru wewe! Kwani ukienda Marekani na usipopapenda si unarudi kwenu kipawa aka minazi mirefu...! Ingia vitani na pambana na maisha...$ 10 trillion economy huwezi kosa japo kidogo... Keki kubwa Marekani na Kama Siyo mvivu italipa Sana...
 
S

sidhani kama Kanuni za maisha ziko sawa afrika bado tunabebana sana kama huna mtu wa kuunganishia upate kazi au tenda bass rushwa inakuhusu kama huna rushwa ata ufanye kazi utokwe na jasho la damu hakuna mafanikio,
Kwenye biashara market hakuna,na ukipata market nzuri serikali itakusumbua wewe hadi bass
Kilimo ni balaaa jingine hilo siwezi kudadavua ntalia buree
Ukija kwenye vifaa vya ujenzi ni shidaa

Hujaelewa kabisa.

Mimi nimezungumzia kanuni lakini wewe hapo umezungumzia fursa.

Hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa.

Rudia kusoma tena labda utaelewa.
 
Wewe unaonekana ni mtoto wa mama, yaani kula kulala.
.
Hata Kama Marekani kuna maisha magumu, je? Utafananisha na maisha ya Tanzania Chini ya ccm?
Ugumu wa maisha wa marekani una afadhali mara 100,000 kuliko bongo.
wala hukupaswa kuhoji, Marekani ktk majimbo yote 51 hakuna mfanyabiashara aliyefunga biashara eti Kwa Sababu ya kubambikiwa kodi au mzunguko mbovu wa pesa.
Marekani hakuna mwanaharakati aliyepotea Kwa Sababu ya kumkosoa Rais.
Bongo ni Jehanamu bana asikuambie mtu, kwanza hukupaswa kuhoji humu ungejiondokea zako kimya kimya tu, humu kuna mi ccm ina laana itakukatisha tamaa.
Yaani kwenda USA baby hadi unataka ushauri?
Aisee hiyo bahati na ije kwangu jamani,siye tunaishia vinchi vya Africa tu, halafu wewe unaleta mapozi...
Mshamba Huyu halafu kanikera Sana na kauli Yake
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kusema kweli, kazi inategemea na connection sana. Wale jirani walikuwa na ndugu wa damu. Awasaidia sana.

Kutafuta kazi peke yako ni vigumu lakini inawezekana. Competition Marekani ni kubwa. Kuna vyuo zaidi ya 5000, kila kazi kuna applicant 200 na zaidi.

Lakini sitaki kukukatisha moyo. Ni juhudi yako tu lakini si rahisi. Inataka moyo sana. Connection inasaidia sana.
Okay,itabidi nipate uhakika wa kazi kutoka kwa wenyeji wangu kama ataweza kunisaidia kupata kazi,Ana vituo vya kulea wazee na mume wake sijui ana mishe gani
 
Teh teh teh...kaka haya wala sio mashindano.....

Pole sana.....

Bila pole kaka. Wala si mashindano.

Mimi nikimiss vyakula vya Kimarekani, wala sihangaiki. Kuna Hard Rock Cafe, TGIF hapa Roppongi.

And I live in Japan, the country with the most Michelin starred restaurants in the world, (290 plus) in case I need high quality food.
 
Y
Hujaelewa kabisa.

Mimi nimezungumzia kanuni lakini wewe hapo umezungumzia fursa.

Hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa.

Rudia kusoma tena labda utaelewa.
yes nimekupata lakin bongo ata uwe mchapakazi mwaminifu bado kuna vikwazo mfano ukaweka trust kwa wateja wako wakaipenda biashara yako unakuta biashara ndo inachanganyia serikali hii hapa policy zao unaambiwa ununue mashine ya TRA laki nane baada ya mwezi inaharibika unaambiwa unatakiwa kununua nyingine hujatulia bomoa bomoa hii apa
 
Okay,itabidi nipate uhakika wa kazi kutoka kwa wenyeji wangu kama ataweza kunisaidia kupata kazi,Ana vituo vya kulea wazee na mume wake sijui ana mishe gani

Una bahati una base ya kuanza maisha. Pole pole, utaweza kupata kazi inayolipa.
 
Bila pole kaka. Wala si mashindano.

Mimi nikimiss vyakula vya Kimarekani, wala sihangaiki. Kuna Hard Rock Cafe, TGIF hapa Roppongi.

And I live in Japan, the country with the most Michelin started restaurants in the world, (290 plus) in case I need high quality food.

Good for you!
 
Y

yes nimekupata lakin bongo ata uwe mchapakazi mwaminifu bado kuna vikwazo mfano ukaweka trust kwa wateja wako wakaipenda biashara yako unakuta biashara ndo inachanganyia serikali hii hapa policy zao unaambiwa ununue mashine ya TRA laki nane baada ya mwezi inaharibika unaambiwa unatakiwa kununua nyingine hujatulia bomoa bomoa hii apa

Ni kweli.

Lakini kanuni za uchapa kazi, uadilifu, na nidhamu zinabaki palepale kama unataka kuwa na mafanikio fulani uyatakayo.

Usipozifuata hizo kanuni utafeli tu na haijalishi uko wapi.
 
Mi niko marekani mume wangu alipata hiyo green card inategemea na mji gan unaenda. Si tuko Massachusetts kazi zipo nyingi lakin ungekuja mwenyewe kwanza ujiandae vizur ndo uchukue familia baadae
Kazi za aina gani mkuu tuchangamkie fursa
 
Sio uwoga ,ila naogopa kucheza na pesa kwa usawa huu,hali ni ngumu pia sioni future hapa kwa biashara niliyonayo ya daladala 2 Eacher,ina miaka 2 toka ianze sijafakiwa kuongeza lingine ,after 5yrs itakuwa ishakufa
Usiende mm naona pambana na ulichonacho
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom