Barabara mbona full viraka?
Kazi Marekani zipo, as long as una kibali cha kazi, ambacho wewe tayari unacho. Wanaohangaika sana ni wale wasio na vibali. Wee kama mchapa kazi, marekani uta-survive bila tatizo. Unaweza usiishi maisha ya juu kwanza, lakini baadae utakua sawa tuu. Tena una bahati una mwenyeji, you will be fine. Mie nakushauri uende tuu. Vikishindikana, unarudi nyumbani ni nyumbani tuu. Tena huko hata mkeo anaweza pata kazi bila shida. Msichague kazi kwanza.Kuhusu kazi sijawahi kuajiriwa ,Nina degree ya IT Greenwich university, na huko marekani nipo tayari kufanya chochote..
Familia siwezi kuicha mke wangu pia hajaajiriwa, visa huwa valid kwa miezi 6
Mwenyeji yupo Michigan
Biashara nimepanga nitamwachia ndugu yangu asimamie kwa muda na nyumba nitapangisha
Wasiwasi wangu tukifika huko then tukasosa kazi izo za vibarua itakuwaje maana nasikia izo kazi siku hizi sio nyingi kama zamani
Sio kiraka hicho ndugu yangu, ebu angalia vizuri.Barabara mbona full viraka?
Ulichoongea ni kweli, lakini mie bado sijaona mbongo alieenda Marekani anaeishi kwenye hayo maeneo kwenye picha. Wanaweza kuwa kwenye proverty category, lakini poverty ya Marekani huwezi linganisha na Tanzania. Na masikini wa huko wana misaada ya kila aina, they are very spoiled.Mara nyingi, watu hupenda kuiremba Marekani na barabara safi na majumba makubwa.
Marekani kuna maisha ya kitajiri na kuna maisha duni kama ya Afrika.
Hatuwezi kuifananisha Marekani na Tanzania. Maisha ni tofauti sana kutegemea na elimu ya mtu.
Mtoa mada, kama unategemea kuajiriwa, uwe na elimu inayohitajika na waajiri. Hata kama ni daktari Tanzania, huwezi kuanza kazi bila ya ukaguzi wa vyeti vyako na kama umesona nje ya Marekani, digrii yako huenda isiwe sawa na ya Marekani mpaka ufanye course kadhaa. Hii huchukua muda.
Nakushauri uende peke yako kwanza. Nakushauri usiende Michigan, nenda majimbo ambayo yana kazi zaidi na tajiri zaidi. Michigan ipo hoi kiuchumi. Kwa kuanza, New York, California, Texas.
Nakushauri utafute kazi katika mtandao au usome kazi ziliopo katika mtandao kabla ya kwenda na usome gharama za maisha katika majimbo tofauti yanayolingana na elimu na ujuzi wako.
Tafuta kazi ambazo ni nyingi na rahisi kupata kwa elimu yako. Jisomee mwenyewe.
Maisha kokote ni magumu lakini utafanikiwa mwisho.
Kila la kheri.
Hii pia ni Marekani.
yeah hata mbinguni kwa mwenyezimungu kuta matabaka kuna moto,kuna heaven ambazo zinazidiana ubora,kila mtu anakula kulingana na urefu wa mkono wakeMara nyingi, watu hupenda kuiremba Marekani na barabara safi na majumba makubwa.
Marekani kuna maisha ya kitajiri na kuna maisha duni kama ya Afrika.
Hatuwezi kuifananisha Marekani na Tanzania. Maisha ni tofauti sana kutegemea na elimu ya mtu.
Mtoa mada, kama unategemea kuajiriwa, uwe na elimu inayohitajika na waajiri. Hata kama ni daktari Tanzania, huwezi kuanza kazi bila ya ukaguzi wa vyeti vyako na kama umesona nje ya Marekani, digrii yako huenda isiwe sawa na ya Marekani mpaka ufanye course kadhaa. Hii huchukua muda.
Nakushauri uende peke yako kwanza. Nakushauri usiende Michigan, nenda majimbo ambayo yana kazi zaidi na tajiri zaidi. Michigan ipo hoi kiuchumi. Kwa kuanza, New York, California, Texas.
Nakushauri utafute kazi katika mtandao au usome kazi ziliopo katika mtandao kabla ya kwenda na usome gharama za maisha katika majimbo tofauti yanayolingana na elimu na ujuzi wako.
Tafuta kazi ambazo ni nyingi na rahisi kupata kwa elimu yako. Jisomee mwenyewe.
Maisha kokote ni magumu lakini utafanikiwa mwisho.
Kila la kheri.
Hii pia ni Marekani.
Miluzi mingi......?
yeah hata mbinguni kwa mwenyezimungu kuta matabaka kuna moto,kuna heaven ambazo zinazidiana ubora,kila mtu anakula kulingana na urefu wa mkono wake
Mkuu hamuwezi kuwaomba wazazi wako ama wa missus muwaachie mtoto? Yaani mtoto mdogo ni kimbembe kingine with zero income i.e. Matunzo, Medical, sitter wa kumuangalia. Plus despite the good intentions ya huyo mwenyeji wako supporting a family of 3 in principle vs. reality it's two different things. All in all my advice is still the same ideally tangulia wewe then ndio wengine waje. Goodluck! Usisahau kuleta marejesho.Kuhusu kazi sijawahi kuajiriwa ,Nina degree ya IT Greenwich university, na huko marekani nipo tayari kufanya chochote..
Familia siwezi kuicha mke wangu pia hajaajiriwa, visa huwa valid kwa miezi 6
Mwenyeji yupo Michigan
Biashara nimepanga nitamwachia ndugu yangu asimamie kwa muda na nyumba nitapangisha
Wasiwasi wangu tukifika huko then tukasosa kazi izo za vibarua itakuwaje maana nasikia izo kazi siku hizi sio nyingi kama zamani
Shukrani mkuuMara nyingi, watu hupenda kuiremba Marekani na barabara safi na majumba makubwa.
Marekani kuna maisha ya kitajiri na kuna maisha duni kama ya Afrika.
Hatuwezi kuifananisha Marekani na Tanzania. Maisha ni tofauti sana kutegemea na elimu ya mtu.
Mtoa mada, kama unategemea kuajiriwa, uwe na elimu inayohitajika na waajiri. Hata kama ni daktari Tanzania, huwezi kuanza kazi bila ya ukaguzi wa vyeti vyako na kama umesona nje ya Marekani, digrii yako huenda isiwe sawa na ya Marekani mpaka ufanye course kadhaa. Hii huchukua muda.
Nakushauri uende peke yako kwanza. Nakushauri usiende Michigan, nenda majimbo ambayo yana kazi zaidi na tajiri zaidi. Michigan ipo hoi kiuchumi. Kwa kuanza, New York, California, Texas.
Nakushauri utafute kazi katika mtandao au usome kazi ziliopo katika mtandao kabla ya kwenda na usome gharama za maisha katika majimbo tofauti yanayolingana na elimu na ujuzi wako.
Tafuta kazi ambazo ni nyingi na rahisi kupata kwa elimu yako. Jisomee mwenyewe.
Maisha kokote ni magumu lakini utafanikiwa mwisho.
Kila la kheri.
Hii pia ni Marekani.
Ulichoongea ni kweli, lakini mie bado sijaona mbongo alieenda Marekani anaeishi kwenye hayo maeneo kwenye picha. Wanaweza kuwa kwenye proverty category, lakini poverty ya Marekani huwezi linganisha na Tanzania. Na masikini wa huko wana misaada ya kila aina, they are very spoiled.
Yeah ni kweli watu sio wa kweli hasa sisi watanzania,ni wabinafsi sanaNakubaliana na wewe sana tu.
Natajiribu kutoa picha ya ukweli zaidi ya maisha ya nchi za "dunia ya kwanza".
Kuna udanganyifu sana.
The more realistic you are in your expectations, the better you are in preparing your new life.
America ain't the land of milk and honey for everyone, especially the unprepared one. You gotta be prepared to hustle!
Barabara mbona full viraka?
Pamoja sana,Mkuu hamuwezi kuwaomba wazazi wako ama wa missus muwaachie mtoto? Yaani mtoto mdogo ni kimbembe kingine with zero income i.e. Matunzo, Medical, sitter wa kumuangalia. Plus despite the good intentions ya huyo mwenyeji wako supporting a family of 3 in principle vs. reality it's two different things. All in all my advice is still the same ideally tangulia wewe then ndio wengine waje. Goodluck! Usisahau kuleta marejesho.
Shukrani mkuu.. tutapata visa mimi na familia yangu itakuwa valid miezi 6,
Mji niliopanga kufikia ni Michigan ndo yupo mtu ambaye atanidhamini,sasa sijajua maisha ya jimbo hilo yapoje,
Kuhusu pesa ya kulipia visa na process zingine ipo na pesa ya kujikimu si haba nitakuwa nayo,naogopa nisije tumia pesa nyingi nikajutia ,
Nimeshriki kama single vipi kuna ugumu hapo na uki apply ya family? Ya na issue iko pale kwenye picha wanaihitaji uipige na jinsi utakavyoonekana kwenye pic kusiwe na makosaNatumai utafanikiwa kama ulikidhi vigezo vya pic ha,tatizo wabongo hatuelekezani vitu kama ivi,wenzetu wakenya wanacheza sana Huu mchezo na wanaenda huko ,wanaigeria mpaka wafungiwa kushiriki kwasababu wamekuwa wengi sana huku marekani hata china mainland wamefungiwa kushiriki
Je umeshiriki ukiwa single au una familia??
Yeah ni kweli watu sio wa kweli hasa sisi watanzania,ni wabinafsi sana
Life style. Mbwebwe zinataka uwezo. Wee kama mchapa kazi, na mtu simple tuu, you will be more than okay.Na kuna wabongo walitoka marekani ambako waliishi miaka 13,wakafika bongo na mbwembwe kibao kupanga nyumba mbezi beach dola 1500 kwa mwezi,na nyumba yao ilikuwa hatua za mwisho kuisha,
Baada ya mwaka walifulia ile nyumba walishindwa kulipa kodi,nyumba yao haikuisha na biashara walizoanzisha zilikufa, na ndoa yao ikavunjika...