Tafadhali kwa watanzania wanaoishi Marekani pita hapa

Status
Not open for further replies.
Hongera sana mkuu hiyo ni bahati iliyoje. Usiache ipite as you will always wonder what-if. That said, please note maisha ugenini si mchezo, especially kama huna box la maana. My advice to you is go by yourself and taste the waters first, ndio ujipange kuhusu familia (approx. year or so). However, do so if and only if;

  • Una mwenyeji realible and/or savings ya kueleweka to help support you (for at least 6-8 months) ukifika huko
  • You are not afraid of work (mambo ya sijui mimi nilikuwa nafanya ofisini, ni branch manager and blah blah forget it)
  • Your wife is able to financially support the family in your abscence. This way if things don't work out you can come back to a somewhat comfortable life.
Kuhusu kazi sijawahi kuajiriwa ,Nina degree ya IT Greenwich university, na huko marekani nipo tayari kufanya chochote..
Familia siwezi kuicha mke wangu pia hajaajiriwa, visa huwa valid kwa miezi 6
Mwenyeji yupo Michigan
Biashara nimepanga nitamwachia ndugu yangu asimamie kwa muda na nyumba nitapangisha
Wasiwasi wangu tukifika huko then tukasosa kazi izo za vibarua itakuwaje maana nasikia izo kazi siku hizi sio nyingi kama zamani
 
Ungekuwa peke yako mkuu ningekushauri uende, Bahati mbaya Una familia mmnh kama Una uhakika wa kula hapo ulipo, mie nakushauri utulie, naskia trump hataki mchezo na wageni lol,sina sababu ila sikushauri uache familia uende lol labda umesoma na Una uhakika wa kupata kazi nzuri huko lol, kwa uhakika zaidi muone lemutuz

Huko nasikia ata kama nimesoma nisitegemee kuajiriwa kwa professional yangu,ni kupga box tuu kwangu ilo sio tatizo
Hapa uhakika kwa kula kwasasa upo sina uhakika huko mbele maana biashara imeanza kuwa haieleweki na pesa ndo zinazidi kupotea
 
Natamani lakini naogopa nisije jutia baadae,naona nifanye research kabla sijaamua, watu wanasema maneno mengi kuhusu Maisha ya marekani

Sorry mkuu, toka uzaliwe umeshawahi toka nje ya mipaka ya Tanzania au nje ya Afrika? Nijibu kwanza ndipo nikupe ushauri
 
Sijawahi mkuu ata kupanda ndege sijawahi

Okay sawa.

Kwanza hongera kwa kupata, kuna watanzania zaidi ya 12,000 wamekosa. Kati ya vitu vinavyofanya watu wawe stagnant ni kutokukubali kuchange, nakusihi kabisa punguza woga. Kubali changes, at 32 you still have 30 or more employment yrs.

Usiache hata kdg kwenda huko, cha msingi acha familia na uende mwenyewe, baada ya muda utawachukua..si uliwajaza kama derivative applocants?

Ukifika tu utajua kwa nn watu hua wanazamia, its a very good place to live, utahitaji kuchange a lot (time keeping, keeping alarms, job shifts etc na a lot of licences). Usikubali kutaka changes ila hutaki kuchange
 
Mwakani USA baby inanihusu,ntakuja hata kwa mguu.
Naomba niwaulize wajuvi ipi njia rahisi ya kupata viza ya huko,mfano nkiamua nitoke bongo mpaka mexico alafu nikaombea viza mexico au nchi za jirani urahisi utakuwepo au bora kuombea hukuhuku TZ.(kuja kutembea tu sio kubeba box)
 
Asante sana.
Kusema kweli wakati najaza fomu nilikuwa natamani sana kwenda lakini baada ya kufikiri kwa kina na kusoma kwenye blogs za kibongo sio Siri watanzania walioko marekani wanakatisha tamaa watu kwenda huko lakin who hawarudi sasa sielewi,nikaona nisije kukurupa ni heri nianze kuuliza na kupata ushauri kabla sijaendelea na process kwasababu pesa itatumika nyingi
Vipi kuhusu elimu ya huko kwa mtoto?
 
Achana na story za blogs, watu wengi hawako legal na ndio wako na stress za maisha na ku-paint maisha ya huko kwa ubaya. Sasa imagine uko legal, una docs zote, why iwe ngumu? Uwe na msimamo, story za blogs nyingi ni za watu waliokosea somewhere (immi papers, au hawana elimu, au watu wa hovyo wasio na formula). Ishu ya watoto sijui
 
Bora kuombea huku,ukifika Mexico utanyiwa visa utaambiwa uje kuombea tz
Ilimtokea rafiki yangu alienda chile
 
Shukrani mkuu..
je una uzoefu na jimbo la Michigan? Hali ya maisha ipoje?
 
Michgan sina uzoefu ila ni moja wapo ya outcast states..am stand to be corrected. Nadhani unaweza anza maisha yako (ya woga) kwa urahisi tu kwa hiyo state
 
Komaa na maisha ya bongo ndugu ,hiyo Marekani sio kama unavyo iona kwenye filamu zao za Hollywood

Yaani una biashara kabisa ,familia na mambo yanaenda halafu unataka ukabebe box ?
 
Asante sana.
Kusema kweli wakati najaza fomu nilikuwa natamani sana kwenda lakini baada ya kufikiri kwa kina na kusoma kwenye blogs za kibongo sio Siri watanzania walioko marekani wanakatisha tamaa watu kwenda huko lakin who hawarudi sasa sielewi,nikaona nisije kukurupa ni heri nianze kuuliza na kupata ushauri kabla sijaendelea na process kwasababu pesa itatumika nyingi
Vipi kuhusu elimu ya huko kwa mtoto?
Hiv ukishinda hiyo dv lottery inachukua muda gani mpaka kwenda huko Marekani mkuu yani taratibu mpaka kukamilika?
 
Bora kuombea huku,ukifika Mexico utanyiwa visa utaambiwa uje kuombea tz
Ilimtokea rafiki yangu alienda chile
Swadakta,nlikuwa na safari ya Peru nkahisi huko naweza kupata unafuu wa viza ya US nkitumia agent.
 
B
Komaa na maisha ya bongo ndugu ,hiyo Marekani sio kama unavyo iona kwenye filamu zao za Hollywood

Yaani una biashara kabisa ,familia na mambo yanaenda halafu unataka ukabebe box ?

Biashara yenyewe sio ya kudumu na pia ipo palepale haikui mapato yanazidi kushuka ,nilijaribu kulima nikapata hasara ya 5M kumbe nilinunua mbegu fake kariakoo na dawa pia zilikuwa fake na tulikuwa wengi tulilima sehemu tofauti tofauti tukapata hasara wote, hii nchi haina muda na wakulima kabisaa zaidi ya blah blah
 
Michgan sina uzoefu ila ni moja wapo ya outcast states..am stand to be corrected. Nadhani unaweza anza maisha yako (ya woga) kwa urahisi tu kwa hiyo state
Sio uwoga ,ila naogopa kucheza na pesa kwa usawa huu,hali ni ngumu pia sioni future hapa kwa biashara niliyonayo ya daladala 2 Eacher,ina miaka 2 toka ianze sijafakiwa kuongeza lingine ,after 5yrs itakuwa ishakufa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom