GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ila huyu mwamba ana reception ya kipekee kabisa.aluu genta wewe inabido upewo tuzo ya kufikiria mbelo zaidi uko mbele ya mudo View attachment 2786174
aluu genta wewe inabido upewo tuzo ya kufikiria mbelo zaidi uko mbele ya mudo View attachment 2786174
Ni bora waliite "BAO LA MAMA" kuliko hilo la sasaBinafsi kila nikisia tu 'GOLI LA MAMA' si tu kwamba huwa Nashtuka lakini pia huwa nawaza mbali sana kama Mwanasayansi na Mdau mkubwa wa Somo la Baiolojia na Baiolojia ya Wanadamu / Mwanadamu.
Nitashukuru sana hili likifanyiwa Kazi.
Purely Talented,Charismatic Fella,Game Changer and EntertainerThat's why I'm this Genius / Brainiac.
ππππ₯Halafu LA MAMA.
Huyu mwamba hazeekagi! Tangu nazaliwa yupo hivihivi!
Mama kapiga magoli matatu ya chap chap!!π€£π€£π€£π€£π€£π€£πππBinafsi kila nikisia tu 'GOLI LA MAMA' si tu kwamba huwa Nashtuka lakini pia huwa nawaza mbali sana kama Mwanasayansi na Mdau mkubwa wa Somo la Baiolojia na Baiolojia ya Wanadamu / Mwanadamu.
Nitashukuru sana hili likifanyiwa Kazi.
nitakata rufaa kama nikikuona mbinguniπKifo cha mende au popo kanyea mbingu,au chuma mboga,au kwa mkwe siji tena,au mama wa kambo,au kwa mganga kuna kibuyu,ah mkonooo moja,au kachukua sheria mkononi au mtama wa adam mchomvu.........
kaka uji tutakaokuletea tuwekee asali au sukari?Mama kapiga magoli matatu ya chap chap!!π€£π€£π€£π€£π€£π€£πππ
πMama anavyopenda umbea huu Uzi haumpiti aone mwitikio wa Bao lake ukoje.
Mtu mzima kuwaza mambo ya kitoto ni aibu sana. Alafu ndio anajiita jiniazi kweli? Huko mavyuoni sijui mnasomea nini?Binafsi kila nikisia tu 'GOLI LA MAMA' si tu kwamba huwa Nashtuka lakini pia huwa nawaza mbali sana kama Mwanasayansi na Mdau mkubwa wa Somo la Baiolojia na Baiolojia ya Wanadamu / Mwanadamu.
Nitashukuru sana hili likifanyiwa Kazi.