Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Fikiria kinyume chakeBinafsi kila nikisia tu 'GOLI LA MAMA' si tu kwamba huwa Nashtuka lakini pia huwa nawaza mbali sana kama Mwanasayansi na Mdau mkubwa wa Somo la Baiolojia na Baiolojia ya Wanadamu / Mwanadamu.
Nitashukuru sana hili likifanyiwa Kazi.