Tafadhali litafutwe Neno lingine, ila hili la 'GOLI LA MAMA' libadilishwe kwani linafikirisha mbali

Binafsi kila nikisia tu 'GOLI LA MAMA' si tu kwamba huwa Nashtuka lakini pia huwa nawaza mbali sana kama Mwanasayansi na Mdau mkubwa wa Somo la Baiolojia na Baiolojia ya Wanadamu / Mwanadamu.

Nitashukuru sana hili likifanyiwa Kazi.
Fikiria kinyume chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…