Tafadhali msiingie kwenye huu mtego. Lissu na CHADEMA yako mkomae mpaka mwisho

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Eti kwamba mchakato wa katiba mpya utaanza 2025 mpaka 2030. Ahadi hii iswapumbaze na kuacha kupam ania mabadiliko

CCM hawataki mabadiliko ya katiba maana wanajua tukiwa na katiba kama ilivyopendekezwa na Jaji warioba mwisho wao utafika

Ikumbukwe huko nyuma walishaahidi sanaa juu ya katiba mpya.

Lissu na chama chako, msihadaike.
 
Sorry i meant Mtego
 
Reforms zikifanyika waingie kwenye uchaguzi ACHA ubishi ,, Sahivi Lissu yupo gerezani death row, we unakula bata
 
Eti kwamba mchakato wa katiba mpya utaanza 2025 mpaka 2030. Ahadi hii iswapumbaze na kuacha kupam ania mabadiliko
Kwa nini usiwaambie kwamba Kisicho punguzwa ni: "NO REFORM, NO ELECTION".

Maana yake ni kwamba Samia hatakuwepo kusimamia huo mchakato wa kutengeneza katiba mpya

hayo anayo pendekeza yeye ni kutafuta njia ya kumbakisha madarakani hadi 2030. Hilo halikubaliki.
 
Back
Top Bottom