Sorry i meant MtegoEti kwamba mchakato wa katiba mpya utaanza 2025 mpaka 2030. Ahadi hii iswapumbaze na kuacha kupam ania mabadiliko
CCM hawataki mabadiliko ya katiba maana wanajua tukiwa na katiba kama ilivyopendekezwa na Jaji warioba mwisho wao utafika
Ikumbukwe huko nyuma walishaahidi sanaa juu ya katiba mpya.
Lissu na chama chako, msihadaike.
Una uwezo duni sanaReforms zikifanyika waingie kwenye uchaguzi ACHA ubishi ,, Sahivi Lissu yupo gerezani death row, we unakula bata
Kwa nini usiwaambie kwamba Kisicho punguzwa ni: "NO REFORM, NO ELECTION".Eti kwamba mchakato wa katiba mpya utaanza 2025 mpaka 2030. Ahadi hii iswapumbaze na kuacha kupam ania mabadiliko
Ni nani umesikia akikataa uchaguzi 'REFORMS' zikifanyika? Hujui maana ya "NO REFORMS, NO ELECTION"?Reforms zikifanyika waingie kwenye uchaguzi
Sasa hili unaliingizaje tena humu! Kwani Lissu kajipeleka mwenyewe kukaa mahabusu?Sahivi Lissu yupo gerezani death row, we unakula bata