Tafadhali namwombea Ulinzi Yule Mama aliyesema Mchoma Moto Soko la Karume ni 'Joseph na Wenzake' kwani huenda hata Mengineyo aliunguza Yeye

Kana ukwasi wa kutosha. Pesa kametoa wali? Kuna mkoa usiyo na petrol station inayoitwa Lake oil hapa Tanzania?
 
Huyo Mustafa ana miaka mingapi ya kuishi Hadi abuni miradi mipya.
Huyu Mustafa mbona siku hizi anafanya Yale ambayo alitakiwa kuyafanya enzi Yuko kwake migombani kabla hajahamia mjini?
 
Siku 7 za ripoti hazijatimia halafu Magic fm wamepata mgeni sijui katoka wapi kuja na hilo jina la Joseph, Magic fm wafungiwe kwa kuingilia kazi isiyo yao.
Juha huna Akili kabisa Wewe na Siku zingine ni vyema kama hujui Jambo uwe Unauuliza na siyo Kukurupuka hivi sawa?

Magic FM ni Chombo cha Habari ( tena kwa taarifa yako tu ni kwamba kinamilikiwa na CCM ) ambayo ndiyo inaunda Serikali nzima na kumpa jeuri Rais Samia kuwa hapo.

Tukio la Kuungua kwa Soko hilo limetokea hivyo Kitaaluma ( ya Habari ) Media huwa zinafanya Follow up ya Taarifa kwa Kuhoji Watu na Vyanzo ili kupata Habari iliyo katika Mizania na Kuwalisha Walaji ( Audience ) wake waweze Kujua.

Walichokifanya Magic FM Kitaaluma na Kitasnia wako sahihiy tena 100% kwani waliweka Sauti ( Inserts ) za Wafanyabiashara na Wahanga hapo ( pale Karume ) ndipo akasikika huyo Mama kwa Kujiamini kabisa akimtaja huyo Jose ( Joseph ) na Wenzake na pia wakaweka na Sauti za Viongozi wa Soko hilo hilo na wa Serikali pia ambao nao pia walionyesha Mashaka juu ya huo Moto na Matukio mengine ya Moto katika Masoko mengine nchini.

Mnafiki na Mpuuzi mkubwa Wewe.
 
Siku 7 za ripoti hazijatimia halafu Magic fm wamepata mgeni sijui katoka wapi kuja na hilo jina la Joseph, Magic fm wafungiwe kwa kuingilia kazi isiyo yao.
Magic fm inamilikiwa na CCM,na hizi siku kadhaa kumekua na fununu Kwamba 'sirikali' ndio ilikua inachoma hayo masoko.

Walichokifanya Magic fm Ni kupoteza maboya,mtu kapangwa kaja kujifnya anamtaja Joseph baada ya hapo attention yote itahamia huko kwa huyo joseph na hilo wazo la kusema 'sirikali' ndio inachoma yanaishia hapohapo
 
Hatakubaliani na huo ujinga.
 
Yule msukuma watu walimset akaondolewa dunian kilain sana, aliwekewa sumu kwenye chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…