Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Kwa hiyo una imani nao sana!Safari hii watu watapiga kazi tu na itaonekana hawataangalia maneno ya mtandaoni tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo una imani nao sana!Safari hii watu watapiga kazi tu na itaonekana hawataangalia maneno ya mtandaoni tena
Kana ukwasi wa kutosha. Pesa kametoa wali? Kuna mkoa usiyo na petrol station inayoitwa Lake oil hapa Tanzania?Huyu jamaa ana damu ya kunguni...., yaani mabaya yote, ufisadi wote na kila deal ya ajabu ajabu ni yeye anafanya..., ingawa simtetei lakini common sense inaniambia kuna sehemu anabebeshwa mizigo sio yake...
Anyway ningekuwa yeye ningemshauri its too soon kupata wadhifa kama huu, hususan kwenye sekta ngumu kama hii unless otherwise kweli ni mpigaji ila upigaji huu hauwezi kuwa sustainable zaidi ya kuendelea kumletea chuki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ety tenaa seblen daaaaTena sebuleni
Na saaa HV hazitaishiaa mjinii mpk vijijin zitawekwaaa na kuua shelli nyinginee ili azinunueee yyKana ukwasi wa kutosha. Pesa kametoa wali? Kuna mkoa usiyo na petrol station inayoitwa Lake oil hapa Tanzania?
yangu masikioAISEE MMH YETU MACHO
Unauliza Shahawa Mbunyeni?Kwa hiyo Jose ndio kachoma soko sio 😁
Juha huna Akili kabisa Wewe na Siku zingine ni vyema kama hujui Jambo uwe Unauuliza na siyo Kukurupuka hivi sawa?Siku 7 za ripoti hazijatimia halafu Magic fm wamepata mgeni sijui katoka wapi kuja na hilo jina la Joseph, Magic fm wafungiwe kwa kuingilia kazi isiyo yao.
Ni John Mvaa viatuEbu mlioko Dasalamu mtuambie huyo Joseph ni nani??
Magic fm inamilikiwa na CCM,na hizi siku kadhaa kumekua na fununu Kwamba 'sirikali' ndio ilikua inachoma hayo masoko.Siku 7 za ripoti hazijatimia halafu Magic fm wamepata mgeni sijui katoka wapi kuja na hilo jina la Joseph, Magic fm wafungiwe kwa kuingilia kazi isiyo yao.
Hatakubaliani na huo ujinga.Magic fm inamilikiwa na CCM,na hizi siku kadhaa kumekua na fununu Kwamba 'sirikali' ndio ilikua inachoma hayo masoko.
Walichokifanya Magic fm Ni kupoteza maboya,mtu kapangwa kaja kujifnya anamtaja Joseph baada ya hapo attention yote itahamia huko kwa huyo joseph na hilo wazo la kusema 'sirikali' ndio inachoma yanaishia hapohapo
AHAHAHAyangu masikio
Yule msukuma watu walimset akaondolewa dunian kilain sana, aliwekewa sumu kwenye chakulaKila nikikumbuka Yule aliyekuwa Kiongozi wa Malori kama si Mabasi ya Mikoani alipotoa Kauli fulani ya 'Kibabe' na Siku Mbili baadae akaugua ghafla na Kufa ndiyo napatwa pia na Hofu juu ya huyu Mama aliyesikika katika Taarifa ya Magic FM na Kipindi chao cha Morning Magic kwa Kujiamini kabisa kuwa anamjua aliyechoma Moto Soko la Karume kuwa ni Joseph ( Jose ) na Wenzake.
Tafadhali huyu Mama alindwe kwani kuna ambayo GENTAMYCINE naanza kuyasikia yakiandaliwa dhidi yake ili asikwamishe Mipango ya Mstaafu kujenga Shopping Malls zake nchini.