Tafadhali naomba kujuzwa kuhusu LUKU

Tafadhali naomba kujuzwa kuhusu LUKU

kissa anyigulile

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
1,550
Reaction score
1,742
Leo tarehe 23/12/2021 nimenunua umeme was Tshs 15,000/=, nimeambulia Units 39.3 KWH!
Ni sahihi au kuna tatizo sehemu?
 
Angalia kama wamekata na Ile buku ya Kila mwezi.
 
Inategemea umewekwa kwenye matumizi gani mkuu.
Kama umepewa units tofauti na unazopewaga siku zote kwa hela hoyo hiyo basi jaribu kuwatafuta tanesco watakueleza tu sababu ni nini.
 
Jambo hili limeanza mwezi uliopita. Huko nyuma kwa hela hii nilikuwa napata Units zaidi ya 70 Mkuu!
 
Basi bila shaka umerushwa kwenye matumizi makubwa.
Iko hivi ndgu.
Ulikua unapata hizo units nyingi kwa pesa hiyo kwasababu ulikua kwenye matumizi madogo na ili uwe kwenye matumizi madogo inabidi ukidhi hivi vigezo la sivyo utawekwa kwenye matumizi makubwa.

1- uwe hauna rekodi ya kuwekwa kwenye matumizi makubwa tangu umefungiwa hiyo luku.

2- Matumizi yako kwa mwezi yawe chini ya units 75.
- kwenye hili sasa ina maana kwa mwezi kama ulikua unapewa unit 70 haikutakiwa hizo units ziishe katikati ya mwezi na ununue umeme tena. Mfano luku imekata tar 20 ni bora usinunue umeme kwa hizo siku 10 au 11 zilizobaki kuliko ukanunua umeme tena ambapo utazidi ile rate ya unit 75/month. Ukishindwa hilo kwa miezi kadhaa basi unawekwa kwenye matumizi makubwa.
 
hivi nikitaka kuhamia kwenye hayo matumizi madogo ya umeme nafanyeje, maana unapounganishwa huwa unawekwa kwenye matumizi makubwa mpaka ioneshe kuwa hautumii zaidi ya unit 75 kwa mwezi
NB sijawahi kutumia units zaidi ya 40 kwa mwezi
 
Kuna thread inahusu TANESCO watawahudumia vizuri tu ndugu wageni waalikwa.

TANESCO wapo live pale huku mnapoteza muda.
 
Leo tarehe 23/12/2021 nimenunua umeme was Tshs 15,000/=, nimeambulia Units 39.3 KWH!
Ni sahihi au kuna tatizo sehemu?
Ni sawa kabisa wala usiumize kichwa. Katika hiyo elfu 15 wamekata buku yao ya tozo ya kila mwezi. Imebaki 14,000 ambayo ndiyo hasa wamekuuzia umeme wa hela hiyo.

Unit moja ya umeme ni Tshs. 355.

14,000÷355=39.4366

Weka kanywe bia tu hata usilalamike
 
Poa Mheshimiwa! Ningefahamu ulipo ungepata ofa! Siku njema Mkuu!
 
hivi nikitaka kuhamia kwenye hayo matumizi madogo ya umeme nafanyeje, maana unapounganishwa huwa unawekwa kwenye matumizi makubwa mpaka ioneshe kuwa hautumii zaidi ya unit 75 kwa mwezi
NB sijawahi kutumia units zaidi ya 40 kwa mwezi
Wapigie hao tanesco uwaambie hiyo changamoto mkuu.
 
Back
Top Bottom