GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hasa hasa nataka kujua ni lini Mwili wake unaingia kutokea huko Jijini Boston nchini Marekani alikokuwa na alikofia.
Na pia kama ukifika nataka kujua je, utapelekwa moja kwa moja Mortuary Lugalo au Kwake Masaki kwa taratibu zingine Kuendelea?
Tafadhali kama utapelekwa Kulala Mortuary ya Lugalo Hospital namuomba Afande Mugwe na Yule Mortuary Attendant Muha waniandalie kabisa nami Vifaa vyangu kwa Kazi ya Kumuandaa Mzee wangu huyu wa Kizanaki aliyefanya mengi na makubwa Kijijini Kwetu Mkoani Mara na hata Tanzania na kwa Watanzania.
Pia mkisema ni lini Mwili wake unategemea Kusafirishwa kwenda Kijijini Kwao Busegwe Wilaya ya Butiama Mkoani Mara kwa ajili ya Maziko yake GENTAMYCINE nitawashukuru mno.
Mwenye Updates zake zozote Karibu.
Cc: Bujibuji Simba Nyamaume