The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Taifa linajua. Limepoteza watu wengi wasio na hatia. Linajua namna wafadhili wako wanavyojitahidi kukubakiza madarakani. Linajua kila kitu. Ila, kama unajitakia na kulitakia mema taifa, chonde chonde. Jifunze toka kwa watajwa hapo juu. Walifanya kama unavyofanya. Je, waliishaje na kuishia wapi? Taifa litakuwapo baada ya wewe na genge lako kuondoka kwa hiari au kuondoshwa. Hakuna marefu yasiyo na ncha.