Maana nimeskia huko nikuabudu tu hakuna hata kulaKama miaka 1000 inaonekana sawa na siku moja, kuna raha zaidi ya hiyo, mkuu. Unafikiri tutaabudu kama tunavyoabudu hapa duniani? Wakati wa kunyakuliwa tutavaa miili mipya, isiyochoka. Wewe unazungumzia kupumzika kwa sababu unawaza miili hii inayochoka hata kuimba pambio.
Wewe ni nyokoWaombe radhi kwanza kwa kuwavunjia heshima. Hawaitwi Moderates
Halafu nakushauri pia ubadili profile avatar yako iendane na yanayotoka moyoni mwako. Mungu akusaidie.
Setfreejamiiforums #JFKUMBUKIZI: Mwaka 2008 Waumini
51 wa Dhehebu la Wasabato Masalia, walianzisha kambi katika maeneo ya Tabata baada ya kuzuiwa na kufukuzwa zaidi ya mara 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakita kusafiri kwenda Ulaya kuhubiri Injili bila hati yoyote ya kusafiria huku wakidai wameagizwa na Mungu
Wakiwa Tabata, Waumini hao waliokuwa 17 na kuongezeka hadi 51 walikumbana na hali ngumu ya Maisha, (hivyo kugeuka ombaomba), pia walikuwa wakiugua hawaendi Hospitali kwa kudai "Mungu atawaponya". Majirani walilalamikia uchafuzi wa Mazingira na kero ya kuombaomba
Imeelezwa, 24 kati yao walihukumiwa kwenda jela Mwaka 1 baada ya kuvamia eneo la Watu, lakini hata walipokuwa wakipelekwa gerezani, bado walisema, "Hii ni safari pia na Mungu ana mipango yake."
Mdau, kipindi tukio hili linatokea ulikuwa wapi?
Source: JamiiForums
SAWAMh, naona kama maelezo yako yamepotea njia, mkuu.
Hapa tunatafakari swali: "Je unaamini Yesu yuaja upesi kama alivyoahidi katika Ufu 22:12?"
Kama unaamini piga kura ya NDIYO. Kama huamini piga kura ya HAPANA.
Sijui kama hii inatusaidia kitu zaidi ya kupotosha. Aje kufanya nini wakati mkizikwa mnaambwa ni makazi yenu ya milele? Tumia japo komonisensi mwanangu.Katika Ufunuo 22:12 Yesu anasema: “Tazama, naja upesi! Thawabu yangu i mkononi mwangu, nami nitampa kila mtu sawasawa na alivyotenda."
Swali: Je, unaamini kuwa Yesu yuaja upesi kama alivyoahidi katika Maandiko hayo?
Jibu NDIYO au HAPANA
Maelezo ya Upigaji Kura:
=============
- Huruhusiwi kubadili jibu lako ukishapiga kura
- Kura hii ni ya wazi hivyo idadi ya kura/matokeo yataonyeshwa publicly
- Lakini usipopiga kura hutaweza kuona matokeo!
- Zoezi la kupiga kura litafungwa baada ya siku 10 tu
Kama unaamini kuwa Yesu yuaja upesi tafadhali piga kura yako ya NDIYO, usimuonee Yesu aibu na maneno yake. Luka 9:26
"Mtu yeyote akinionea aibu mimi na maneno yangu, Mwana wa Adamu naye atamwonea aibu atakapokuja katika utukufu wake na katika utukufu wa Baba, pamoja na malaika watakatifu."
Kama huamini kuwa Yesu yuaja upesi, uwe mkweli tu, piga kura ya HAPANA
Proverbs 26:4-5 says:Wewe ni nyoko
Kuna raha gani huko mbinguni??Mbinguni kwenye raha ya milele na milele. Umeishapiga kura?
Kama Mababu zako na mabibi zako wa mababu zako wa mabbibii zako hawajawahi kuru hadi leo sembuse huyo mhuni ndiyo arudi?Hatujui yatakayojiri 2040.
Yesu akirudi kabla ya mwaka huo uko tayari kunyakuliwa? Kama bado, tubu dhambi zako sasa na umwamini Yesu, usije ukaachwa. Baada ya Yesu kuja na kuwachukua watakatifu, watakaoachwa duniani wataingia katika dhiki kuu ambayo haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Yaani lleo yesu aliyetungwa na kuletwa na wazungu kupitia biblia kwaajili ya kukutawala Mwafrika leo aje aau arudi kukuchukua wewe na kukupeleka wapi kama siyo ujinga ni nini??Tumuombe Mungu awasaidie wengi waamini, ili Yesu akija waweze kupaa
Zaburi 53:1Kama Mababu zako na mabibi zako wa mababu zako wa mabbibii zako hawajawahi kuru hadi leo sembuse huyo mhuni ndiyo arudi?
N je hao wanyama wengine kuku,bata,nyati,mbbwa,nk nani atarudi kwaajili yao??
Jitafakari Mwafrika!!
Zaburi 53:1Yaani lleo yesu aliyetungwa na kuletwa na wazungu kupitia biblia kwaajili ya kukutawala Mwafrika leo aje aau arudi kukuchukua wewe na kukupeleka wapi kama siyo ujinga ni nini??
Bado.
Waliokuja ni Makristo wa uongo
Mathayo 24:5
"Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi."
Mathayo 16;27 Kwasababu Mwana wa Adamu atakuja katoka utukufu wa Baba yake pamoja na malaika zake ndipo atakapomlipa kila mtu kwa kadri ya matendo yakeBado.
Waliokuja ni Makristo wa uongo
Mathayo 24:5
"Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi."
kumbe umeshajua hata kabla sijapiga kura haha aya mtakatifu.Hao walidanganywa na manabii wa uongo kama ambavyo na wewe shetani amekudanganya umeamini uongo wake eti Yesu hawezi kuja. Think twice
kama kweli unasoma biblia ebu nambie jambo moja tu lililobaki kutimia ili kristo arejee?Hao walidanganywa na manabii wa uongo kama ambavyo na wewe shetani amekudanganya umeamini uongo wake eti Yesu hawezi kuja. Think twice
Marko 8:38 Maana kila mtu atakayenionea haya mimi, na maneno yangu ,katika kizazi hiki cha uzinzi na dhambi ,Mwana wa Adamu atamwonea haya mtu huyo ,atakapokuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika watakatifuBado.
Waliokuja ni Makristo wa uongo
Mathayo 24:5
"Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi."