Tafadhali tukumbushane ya kibohehe sekondari.

Sikusoma Kibohehe ila najua mengi kuhusu hiyo shule.Mbona mnaona shida kumtaja Zito Kabwe kuwa alisoma hapo?Mwalimu Ndanu kwa sasa anafundisha S.T Theresia iliyoko Mailisita.Malya bado yuko BAKWATA.Kibanda cha njiwa kipo ila ni useless kwa sasa.Vyoo ni vile vile ulivyoacha,nyumba za walimu wanaishi popo kwa sasa,mabweni hayajabadilisha majina ila ni kama chuma chakavu.Hivi ulikuwa unafahamu kuwa ile shule ilifutwa na kuanzishwa upya?Kwa kweli hata mimi pamoja na udogo wangu ninafahamu wakubwa wengi waliopitia kibohehe.Halafu huyu Exaud Makyao si yule mkuu wa sekondari ya Uroki?Kwa sadala kwa sasa si mbaya japo nasikia polisi bado wanapaogopa.Walitaka kujenga kituo cha polisi kwasadala ila walipoleta matofali kurudia mengine tu yale ya mwanzo hawajayaona hadi leo.
 
Mtakuwa mnamzungumzia Zito Kabwe?Mwalimu Ndanu anafundisha S.T Theresia iliyoko maili sita.Ukihitaji contact zake nitafute kwa isaacbabu21@yahoo.com.Hivi Exaudi Makyao ni yule mkuu wa Uroki secondary?
 
Sikusoma Kibohehe ila najua mengi kuhusu hiyo shule.Mbona mnaona shida kumtaja Zito Kabwe kuwa alisoma hapo?Mwalimu Ndanu kwa sasa anafundisha S.T Theresia iliyoko Mailisita.Malya bado yuko BAKWATA.Kibanda cha njiwa kipo ila ni useless kwa sasa.Vyoo ni vile vile ulivyoacha,nyumba za walimu wanaishi popo kwa sasa,mabweni hayajabadilisha majina ila ni kama chuma chakavu.Hivi ulikuwa unafahamu kuwa ile shule ilifutwa na kuanzishwa upya?Kwa kweli hata mimi pamoja na udogo wangu ninafahamu wakubwa wengi waliopitia kibohehe.Halafu huyu Exaud Makyao si yule mkuu wa sekondari ya Uroki?Kwa sadala kwa sasa si mbaya japo nasikia polisi bado wanapaogopa.Walitaka kujenga kituo cha polisi kwasadala ila walipoleta matofali kurudia mengine tu yale ya mwanzo hawajayaona hadi leo.
Daaah, aksante mkuu kwa kutukumbusha. Kama bado mwalimu Ndanu anafundisha basi Abort itakuwa kama kaitunga yeye!
 
siyo zitto kabwe tu aliyesoma hapo. hata mbunge wa Temeke, abbas mtemvu alisoma kibohehe
 
Back
Top Bottom