Tafadhali usicheke, Ukicheka wewe ni mtu usiye na huruma KABISA

Tafadhali usicheke, Ukicheka wewe ni mtu usiye na huruma KABISA

Mbiti= fisi
Yaza=e-kundu, nyekundu,.

Tukitafsiri kiswahili-sukuma=Fisi nyekundu.

Lakini kwa vile ngeli ya nomino ya viumbe hai ni "A - WA" katika kiswahili fasaha, basi kiswahili fasaha ni "fisi mwekundu" mfano: ( umoja) "fisi Ana miguu minne/au (kwa wingi) fisi WAna miguu minne,"

Hatwezi kusema "fisi nyekundu" Maana hii katika kiswahili ni moja ya ngeli za vitu visivyohai I - YA (mfano: huwezi kusema (kwa umoja) fisi INA miguu minne/au (kwa wingi) Fisi ZIna miguu minne.

Mbitiyaza=Fisi mwekundu (au kiswahili-sukuma: fisi nyekundu)
Red Red Wine
 
HUYO HATA HADHI YA KUITWA KIBAMIA HANA. [emoji23] [emoji23]
 
Nimekuita tuburudike pamoja na huu Uzi, au nimekukwaza?

Hata haujanikwaza.. wengine kama mie tunaonaga aibu kwa mambo kama haya kuyajadili kiundani.. unajua tena mwanamke kufundwa haswaaa na kushindwa kuyaongelea kwa wengi.

Eeeeh.. ndio hivyo.. upo!?

Ngoja niwasome nami nione kama nitacheka mwenyewe.. ila kwa humu naona aibu kweli kweli kuonesha kama nacheka au sicheki..
 
Na nyie wazungu mna unyago?
 
Ngoja nimuite le kokobangaa'z aje asome huu uziii [emoji15][emoji23][emoji23][emoji12]
 
Mhh mkuu na mi nimejikagua dushe ka ndo ivyo vibamia..ila sio poa
 
Back
Top Bottom