Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nigishagi ng'walufungulogawiza bhabha!nakogeshe ng'wanani
Red Red WineMbiti= fisi
Yaza=e-kundu, nyekundu,.
Tukitafsiri kiswahili-sukuma=Fisi nyekundu.
Lakini kwa vile ngeli ya nomino ya viumbe hai ni "A - WA" katika kiswahili fasaha, basi kiswahili fasaha ni "fisi mwekundu" mfano: ( umoja) "fisi Ana miguu minne/au (kwa wingi) fisi WAna miguu minne,"
Hatwezi kusema "fisi nyekundu" Maana hii katika kiswahili ni moja ya ngeli za vitu visivyohai I - YA (mfano: huwezi kusema (kwa umoja) fisi INA miguu minne/au (kwa wingi) Fisi ZIna miguu minne.
Mbitiyaza=Fisi mwekundu (au kiswahili-sukuma: fisi nyekundu)
Nigishagi ng'walufungulo
ng'washitongolohahaha bhabha lufungulo!nigeshage mayo ng'washitongolo !
hahaha bhaba mlechiza !ng'washitongolo
Nimekuita tuburudike pamoja na huu Uzi, au nimekukwaza?Makubwa haya kwa kuniita humu.. kunani!?
Nimekuita tuburudike pamoja na huu Uzi, au nimekukwaza?
Hapana ndugu yanguVP Na yako imevimba tangu juzi?
Na nyie wazungu mna unyago?Hata haujanikwaza.. wengine kama mie tunaonaga aibu kwa mambo kama haya kuyajadili kiundani.. unajua tena mwanamke kufundwa haswaaa na kushindwa kuyaongelea kwa wengi.
Eeeeh.. ndio hivyo.. upo!?
Ngoja niwasome nami nione kama nitacheka mwenyewe.. ila kwa humu naona aibu kweli kweli kuonesha kama nacheka au sicheki..
Umeona ehhWe jamaa story zako unazijuaga mwenyewe tu
Sio kwa kamba kama hizi