Tafadhali usikikate kitunguu maji ukakibakisha ili kesho yake ukitumie tena haifai kabisa

Tafadhali usikikate kitunguu maji ukakibakisha ili kesho yake ukitumie tena haifai kabisa

Ni kweli kabisa watanzania wengi tungekuwa saa hizi marehemu, wewe MziziMkavu hebu uliza kwenu hamkawahi kupikia kitunguu wacha cha jana hata cha juzi. Mimi nakumbuka kabisa kitunguu kwetu kilikuwa hakipikii mara moja mpaka na ukubwa wangu huu sijaona mtu amekufa kwa kula kitunguu cha jana au juzi, wacha tu kitunguu cha kupika tunakula hata kitunguu kibichi kwenye kachumbari. HIYO NI UONGO KABISA KWETU LABDA HUKO KWA WAZUNGU AU VYA KICHINA.
JOKE: KUNA WAKATI WACHAGA WALIKUWA HAWALI MIHOGO WANASEMA MIHOGO INASUMU. KWANI KUNA MMOJA WAO ALIWAHI KULA MUHOGO AKAFA.

wachaga mpaka sasa wengi wao hawali mihogo kwasababu wanaidharau na kuiona ni ya watu wa hali ya chini sana (maskini)
 
Is It Dangerous to Cut Onions a Day Before Cooking Them?

Last Updated: Aug 27, 2014 | By Sara Ipatenco
photos.demandstudios.com%2Fgetty%2Farticle%2F144%2F44%2F477454843_XS.jpg



Onions are a nutritious sources of vitamin C and fiber.

Preparing foods ahead of time, such as when you chop and slice vegetables the day before you need them, can save time and help you get a quick meal on the table. You might not cut your

onions the day before, however, because there is a myth circulating that it's dangerous to eat

onions that have been prechopped. This is just an urban legend, and you can safely cut onions the day before using them as long as you do it properly.


The Myth Explained


The basis of the myth regarding the safety of onions cut the day before is based on the potential that germs or bacteria can grow on the vegetables between the time they're cut and

when they're used in a recipe. It is true that onions left out in the open will eventually attract bacteria and decay, according to Dr. Ruth MacDonald, writing for BestFoodFacts.org, but this

isn't likely to be a danger overnight. It's also necessary to store and handle the cut onions properly to further reduce the risk of bacterial contamination.Source.Is It Dangerous to Cut Onions a Day Before Cooking Them? | LIVESTRONG.COM
 
Kama ni hivo watu wengi wangekuwa washakufa
Sasa ukisha kufa ndio watu watajuwa kitunguu maji ulicho kiacha kina madhara ?Mkuu Money Stunna unaonaje ujaribu wewe hivyo nilivyo shauri upinge uone matokeo yake wewe uwendio test wa watu.

attachment.php
 

Attachments

  • USIKATE KITUNGUU MAJI UKAKIBAKISHA SIO VIZURI.jpg
    USIKATE KITUNGUU MAJI UKAKIBAKISHA SIO VIZURI.jpg
    36.2 KB · Views: 778
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom