Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa watanzania wengi tungekuwa saa hizi marehemu, wewe MziziMkavu hebu uliza kwenu hamkawahi kupikia kitunguu wacha cha jana hata cha juzi. Mimi nakumbuka kabisa kitunguu kwetu kilikuwa hakipikii mara moja mpaka na ukubwa wangu huu sijaona mtu amekufa kwa kula kitunguu cha jana au juzi, wacha tu kitunguu cha kupika tunakula hata kitunguu kibichi kwenye kachumbari. HIYO NI UONGO KABISA KWETU LABDA HUKO KWA WAZUNGU AU VYA KICHINA.
JOKE: KUNA WAKATI WACHAGA WALIKUWA HAWALI MIHOGO WANASEMA MIHOGO INASUMU. KWANI KUNA MMOJA WAO ALIWAHI KULA MUHOGO AKAFA.
Sasa ukisha kufa ndio watu watajuwa kitunguu maji ulicho kiacha kina madhara ?Mkuu Money Stunna unaonaje ujaribu wewe hivyo nilivyo shauri upinge uone matokeo yake wewe uwendio test wa watu.Kama ni hivo watu wengi wangekuwa washakufa