Mshangazi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,143
- 4,462
Leo itakapofika ile mida ambayo walokuwa wanafanya mtihani wa taifa leo wanakuwa wameshafumba macho yao na tumebaki sisi tu ambao umri wetu una alama ya kujumlisha
Yaani wenye ule umri wa kuanzia miaka ile na kuendelea
Basi nitashusha uzi special kwa wote wana JF na hakika hutajutia kubaki JF hadi muda huo. Ni maandishi machache plus picha nyingi na video concrete ..!
BE PREPARED TO BE SUPRISED ..!