Tafadhali Viongozi wa sasa kama Mmemchoka na Kumkinai Hayati Mwalimu Nyerere tuambieni tu na siyo kuanza Kumdharau kiasi hiki

Hata mimi sikuwaelewa kabisa sijui wanewaza nini?

Sent from my SM-J730GM using JamiiForums mobile app
Ni Dharau iliyotukuka na isiyovumilika dhidi ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na inavyoonekana imepangwa Makusudi na kwa Lengo fulani.

Kuna Mtu anaitafuta Kilazima laana ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na asipoangalia itamtafuna vibaya na mambo Kumuharibikia na hatoamini.
 
Una hoja ya msingi sana!Bora mwenge ungezimwa jana au juzi na tukio la leo ikawa ni kumbukumbu ya mwalimu Nyerere tu!
Huwa nafurahi kukutana na Intelligent Members kama Wewe hapa Jamvini ( JamiiForums ) Mkuu. Heko kwa Kunielewa vyema GENTAMYCINE japo Mimi hili Tukio limenipandisha sana Hasira kwani huwa si Muumini wa Upumbavu na Unafiki kama walionao 'waliochemsha' leo.
 
Acha Kujipendekeza Kwangu Wewe Authentic Moron sawa? Na sijui kwanini huwa unapenda Kushobokea sana Threads zangu hapa JamiiForums.

Umeshajifunza kuandika vyema Jina la Esther badala ya Easter kama ulivyoliandika Jana mahala? Unajitapa kuijua vyema South Africa na una Exposure kubwa imekuwaje Jambo dogo tu lile umelikosea / umelishindwa?

Nimekudharau kuliko Kinyesi cha Uharo.
 
Mwakani tutaweka la kwako

Wivu ukuishe
 
Mama amenikera Sana yaani anaendeshwa na timu mwendazake kama hajielewi?

Wanamdhalilisha mwalimu kwa kumfanya Mwendazake muhimu kuliko yeye tena kwenye siku yake muhimu kama hii?

Aisee wakome kabisa kama wanaona Mwendazake ndio wa muhimu kwao mwakani wamiwekee siku wawe wanaenda kufanya upuuzi wao huko sio kutumia tarehe ya Mwalimu.
 
Naunga mkono hoja. Ni upuuzi Nyerere Day kuishia Chato
 
Sumve 2015 wewe ni mtoto mdogo ambaye ni mvivu kusoma. Magufuli hafanani na chochote na JK Nyerere Wala Magufuli hakuziishi falsafa ya Nyerere.

Koma kabisa kumfananisha Baba wa Taifa na vitu vya HOVYO
 
Tatizo viongozi wa CCM wanafanyia siasa kila kitu kwa manufaa yao! Ni dharau na unafiki usiokubalika kujifanya mnamuenzi Baba wa Taifa wakati mnafanya ufisadi wa rasilimali za Taifa!
Mwakani yatafanyikia KAGERA....na si CHATO tena......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…