Tafadhali Viongozi wa sasa kama Mmemchoka na Kumkinai Hayati Mwalimu Nyerere tuambieni tu na siyo kuanza Kumdharau kiasi hiki

Mwanamke ni Mtu wa kuongozwa ni ujinga cccm tu kutufanyia majaribio

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Nyerere na Magufuli ni Watu wawili tofauti kuwafananisha ni upotoshaji
 
Inasikitisha na kukera sana. Labda hawaelewi maana ya kumbukizi. Kwa kitendo hiki wanataka tumkumbuke Nyerere au Magufuli?
 
Tafadhali naomba ufungulie uzi.
 
Karani ndivyo walivyo Mkuu. HAWAJIAMINI pamoja na katiba kumpa madaraka makubwa sana. Na washauri wake wote ni Wapumbavu tu.
Ndio wamekosea ila wamefanya kimkakati kupunguza nguvu za team mwendazake mana wamekuja wakisepa Rais ameendekeza sherehe leo hautoona thread za namna hii zikianzishwa sababu kwao ni jambo jema ila lingefanyika pwani au bagamoyo umeingia thread 20 zikimponda Rais
Lakini pia naona kama wahitaji kufanya ili kuzika kivuli cha Mwendazake ili kuhalalisha matukio kwa maeneo mengine
Just imbalance upepo wa kisiasa
 
Mikakati UCHWARA ili kulifurahisha kundi la wahuni wachache katika nchi yenye watu 60 millions HAIHUSU KITU,

 

ikifika siku ya magufuli day tutaenda butiama kumuenzi nyerere !

dj wa ccm kutoka mix za lumumba mapiano day
 
Hata hivyo kuweka mashada ya maua si utamaduni wetu bali tunaigaiga tu mambo ya Mabeberu
 
Hili limenishangaza sana yani kumbukumbu ya mwalimu Nyerere badala ya kuifanyia Butiama au hata Dodoma wao wamekwenda kuifanyia chattle!! For what.
Tumewahi kusema Hangaya nchi imemshinda siku nyingi. Wanaoongoza nchi Kwa sasa ni wengine na halisi ni tukio hili la Leo. Aibu tupu. Nchi inaongozwa na Jopo la Marais na SIO Rais. Hangaya jitafakari kabla hujalitumbukiza Taifa shimoni.
 
Kwanini tukio la uzimaji mwenge usingekuwa jana au kesho ili siku ya Leo ibaki kumuenzi Shujaa wa Afrika Mwl. JK Nyerere??! Busara iko wapi???
 
Mama Samia Rais Mpendwa,wananchi wako tunakupenda sana.Unatuongoza vizuri,sasa hivi wananchi,tuko na furaha.Tunakupenda sana.Kila tunakopita,wananchi wanakusifia,na maendeleo tunayaona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…